Je, ni kweli Boss wa Wasiojulikana kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima?

Je, ni kweli Boss wa Wasiojulikana kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima?

Gwajima akamatwe na nani wakati ni mwanamikikati nguli, jasusu, kachero lililobobea linalotumia jukwa la dini kuhadaa watu kwa kuhamisha mijadala mizito nchini. Yule yuko kazini kama kawa, ni chombo cha dola hakuna wa kumkamata
Kama ni hivyo wasingemfungia kanisa, kumwibia vitu na vingine kuviharibu. Na ubunge wasingemnyima.
 
Hakuna mpuuzi yeyote anaweza kushindana na serikali na akashinda.
Rais Samia akitoa order ndani ya masaa 10 Gwajima awe tayari arrested nakuambia hata masaa 3 hayatafika tayari Chawa wake mtaanza Free Gwajima, free Gwajima.
Samia ana ile political tolerance ambayo Magufuli alikuwa hana kabisa
 
Niliacha kumsikiliza Gwajima baada ya kumsikia akisema nikatake Cover na nikaji Comouflage... 🤣🤣🤣 Mali za bwana kheri
 
Boss wa wasiojulikana anapokea amri toka kwa huyu hapa
FB_IMG_1780719320322.jpg
 
atoke lisu waungane majukwani humo maisha yaendelee

wa itilima pekeake haipendezi
 
Back
Top Bottom