D
Unamsema yule ambae watoto wake walikua wanacheza na dollars mkononi vibunda vya kutosha huku wanakuonyesha dole la kati si ndio?Kaka mkubwa yule kunyoosha mikono kifara hivi bado sana.
nonsense 🐒Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya chochote.
Miezi kadhaa nyuma tulimsikia Namba 3 akiagiza Kwamba Namba 1 ametoka maelekezo kwa PT waache kumtafuta Askofu Gwajima.
Je, Boss yule yule kabadilisha gear hewani??? Au kamnyoshea mikono Askofu Gwajima?
He’s part of the circusUna Kumbuka gwaji boy ali badilisha kiti na kufuta maiki, alipo kuwa ana hojiwa enzi zile?.
Yule sio boya kihivyo, natamani zile kete za polepole wange sukuma wote.
Kiukweli gwajima anavyoonekana anapitia kipindi kigumu sana pengine kuliko kipindi chochote. Fikiria unawindwa kuuwawa na unajua hilo"Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya chochote.
Miezi kadhaa nyuma tulimsikia Namba 3 akiagiza Kwamba Namba 1 ametoka maelekezo kwa PT waache kumtafuta Askofu Gwajima.
Je, Boss yule yule kabadilisha gear hewani??? Au kamnyoshea mikono Askofu Gwajima?
Mwenzao huyo.Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya chochote.
Miezi kadhaa nyuma tulimsikia Namba 3 akiagiza Kwamba Namba 1 ametoka maelekezo kwa PT waache kumtafuta Askofu Gwajima.
Je, Boss yule yule kabadilisha gear hewani??? Au kamnyoshea mikono Askofu Gwajima?
Kama humjui namba 3 hupaswi kuwa hapa.Sisi wengine hua tunajizuia sana tusije tukatumia lugha kali tunatafsiriwa vingine sema nini unajua hayo hapo sio matako hayo ni maandishi mkuu, kwanza huyo boss mboni hujamtaja ila gwajima umemtaja jina? Mtaje jina lake
Lile gheresha, mwenyewe huwa Hashindi hapa ndani muda mwingi ni route za mbali...Unamsema yule ambae watoto wake walikua wanacheza na dollars mkononi vibunda vya kutosha huku wanakuonyesha dole la kati si ndio?
Gwajima kanisa lake wakati linafungwa yeye alikuwa wapi , alishakimbia na polisi walipewa order wasimtafute ndipo alikuja kujitokea . Hizo porojo ni kuwadanganya wagalatia , ili kuendelea kupiga sadaka .Kiukweli gwajima anavyoonekana anapitia kipindi kigumu sana pengine kuliko kipindi chochote. Fikiria unawindwa kuuwawa na unajua hilo"
Na sijui jamaa wanashindwa vipi kumpata wakati anaonekana hadharani muda mwingi. Ushauri wangu kama kweli wanamuwinda Gwajima kumtoa uhai basi hilo litakuwa kosa kubwa la karne, kosa ambalo litaenda kuliangamiza taifa na kutengeneza mgogoro mkubwa wa kidini.
Kama wanataka kumkamata tu na kumfungulia mashitaka hapo sawa lkn sio kumuua