Kama ni hivyo wasingemfungia kanisa, kumwibia vitu na vingine kuviharibu. Na ubunge wasingemnyima.Gwajima akamatwe na nani wakati ni mwanamikikati nguli, jasusu, kachero lililobobea linalotumia jukwa la dini kuhadaa watu kwa kuhamisha mijadala mizito nchini. Yule yuko kazini kama kawa, ni chombo cha dola hakuna wa kumkamata
ni zuga tu hiyoKama ni hivyo wasingemfungia kanisa, kumwibia vitu na vingine kuviharibu. Na ubunge wasingemnyima.
Ni mzito kwetu tu, siyo kwa mfumo..ni mtu mzito sana yule
Nakataa hiyo sio zugani zuga tu hiyo