Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

Mbunge litakuwa limehusishwa endapo tu report ya ukaguzi itarudishwa bungeni.

Je report ya manununuzi ya ndege za ATCL imewahi kufanywa na CAG na kupelekwa bungeni??
Mkuu, sikiliza tena hoja ya mgombea wetu kabla ya kufika mbali huko kwa CAG.
 
..mimi naangalia kama ndege zina faida au hasara.
Kwako unaona kuwa na ndege ni hasara!! Ndege inafaida nyingi sana zisizo za moja kwa moja kwanza ikiwa inasafiri kimataifa inajenga image ya nchi. Unaona Kenya na Ethiopia inajulikana sana duniani kwa sababu ya ndege zao kwa kuwa zinazunguka duniani kote mpaka wakati mwingine wazungu wanajua vivutio kibao viko Kenya wakati viko Tanzania wakati mashirika yao hayapati faida ya moja kwa moja.
 
Point kubwa Sana hii, Hawana ata mchanganuo wa biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima, hakuna taifa lolote serikali yake inapotekereza miradi ya kazi zake inapitishwa na bunge. Kazi ya bunge nikuhoji kinachofanywa na serikali na kutoa ushauri. Kwahyo puuuzeni propaganda zinazoenezwa na na mzee wa kiki kwamba miradi yote inayofanywa na serikali kwamba ni lazima ipitie bungenii. Mwenye ushaidi wa taifa au kifungu cha sheria kinachosema shuguli zote serikali ni lazima zipitishwe na bunge wekeni hapa.
 
Hoja yandege haikuanza kipindi cha magufuli tuambie nikiachangapi hicho bunge langapi nimemsikiliza alima nikama analala mika utekelezaji haujafanyika sasa usituletee uongo hapa ataukimsikiliza doto jems nikwamba anaonesha mjadala haukuwepo bungeni ilakatumia vikanuni nasheria ndiovinalihusiha bunge twambie nimkutano wangapi kiochangapi halima alisema hayo kabla yamagu kuwa rais alima alikuwa mbunge
 
Wewe nenda kawadanganye vijana wasio jielewa huko YouTube na vistori vyenu vya kukopi na kupest. Sisi tunataka risti ya ndege
 
Tunaposema kwamba, Tunamgombea wa ajabu haijawahi kutokea, Chadema muwe mnaelewa!!!

Ligombea liongo kwelikweli!!
Na kweli huyu ni wa ajabu mnaunganisha nguvu na rasilimali zenu zote bado ana wakokoto hiyu si Lowassa akisimama aseme ELIMU ELIMU ELIMU
Huyu anapiga za kwenye makende lazima awatowe uzazi mwaka huu Majambaz makubwaa
 
Mkuu acha upotoshaji.

Lissu hakusema hakuna anayejua fedha zilizotengwa ... Anasema hakuna anayejua bei za ndege na mikataba yake. Bajeti ikisomwa haina haina maana hiyo ndiyo bei ya ndege.Inaweza kupungua au kuongezeka kutegemea na situation.

Kitu ambacho alisema hakikupitishwa bungeni ni Chato International Airport.

Kama wanataka kujibu waweke gharama ya ndege moja moja tuchambue pumba na mchele wenyewe.
 
Kwa uwezo wetu kiuchumi,tunahitaji ndege za aina hiyo? , kwa idadi hiyo? na ndani ya miaka 5
Fedha hata kama zinapitishwa na bunge, bila audit ya CAG after expenditure, ni kufarahisha genge
 

..siyo kweli.

..Kenya wanakula hasara na shirika lao.

..Rwanda, waliotushauri tununue ndege, wamepata hasara, na sasa wako mbioni kuuza hisa kwa Qatar Airways.

..South African inayopokea watalii wengi na wasafiri wengi kuzidi Tz shirika lao la ndege liko juu ya mawe.
 
Mkuu. Fungua video clip hiyo na umsikilize kwa makini Mheshimiwa Halima Mdee maana ametaja hadi mwaka uliopita wakati akichangia hoja hiyo ya ununuzi wa ndege. Jibu liko wazi humo.
 
Huko majukwaani tunasikia mengi, lakini mengine nadhani yanafanywa kwa makusudi ya kutafuta kura. Inawezekana ikawa ndio maana halisi ya kampeni kwa tafsiri yetu ya Kibongo tu....
Bunge lilishirikishwa na wabunge wa CCM ndio walioshiriki Katika mchakato mzima maana wabunge wa chadema walikimbia so wasiongeeongee vitu wasivyoelewa.
 
Yes bunge ambalo walio wengi ni CCM na hotuba za wapinzani hufanyiwa censorship.
Yes, ndio hilo hilo ambalo mgombea wetu anadai hoja haikupita mule, na wabunge wote hawajui.
 
Mkuu, siwezi kuweka maneno mdomoni kwa mtu. Kwenye video clip hiyo mgombea hakuitaja Chato. Sasa kama umeamua kumuwekea maneo hayo kupitia clip yake mwenyewe, basi ni wewe. Ila mimi nimeamua kuchanganya na zangu na jibu lake nabaki nalo mwenyewe kwakuwa sio lazima jibu langu lifanane na lako Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…