Uchaguzi 2020 Je, ni kweli Bunge halikuhusishwa kwenye ununuzi wa ndege za ATCL?

Lissu uwa ni liongoliongo sana kama vile yupo kwenye siku zake.
 
Tunavyosemaga machadema mengi ni manyumbu muwe mnatuelewa jamani.
 

Ndugu hawa wapinzani wamechanganyikiwa?
Hawakai Bungeni taarifa zinapitishwa wao wanazurura chako ni chako.
Documents zinaonesha Manunuzi yote ya ndege za ATCL budget zake zimetengwa na Kwenye Manunuzi Bunge limeshirikishwa.
Wao ni Wabunge kweli kwa Majukumu au ni Majina tu.
 
Nimeisikiliza vizuri sana mwaka haujatajwa ilanimesikia mwakajana sasa sijui unamaanisha ndege zimenunuliwa mwaka huu alichokizungumza alima nirandama ilioletwa bungeni mwaka jana ndege tumenunua mwaka huu au tulinunua mwakajana huohuo lakini hatahivyo sijuiutuelewi watanzania bungeni hakunambunge anaejuauhasia wandege zilinunuliwa kiasi gani nazipondegetofauti tofauti nabei nihivyohivyo sasa kamautampata mbunge au waziri anatamka bei yandege zetu nikiasi fulani bungeni utakuwa umemaliza hoja
 
Nimeshangazwa na uekewa midogo wa Wana JF. May be ni kwa makusudi.

Clip iko clear anazungumxia bei na mikataba. Watu wanageuza kuwa kama vile bungee halikuwa linajua...!!

Hawa Jamaa waache utaoeli na kumanupulate watu kama walivyotufanyia kwa miaka karibu 60 Sasa. Watupe bei za ndege na mikataba yake kama ni kweli.
 
Hawawezi kamwe kutoa bei halisi ya kila ndege kwa sababu ndo wamepigia hela anazotumia magufuli kujenga kiwanda cha samaki huko Geita
 
Hawawezi kamwe kutoa bei halisi ya kila ndege kwa sababu ndo wamepigia hela anazotumia magufuli kujenga kiwanda cha samaki huko Geita
No wonder tunaambiwa uwanja wa Chato utabeba samaki na kuleta watalii.
 
Masuala ya ununuzi wa ndege yalihamishiwa kasima ya ikulu ambayo haihojiwi… Correct me if I am wrong
 
Wewe unaongea hearsay bajeti ya kununua ndege ipo kwenye wizara ya miundombinu na mawasiliano na ilijadiriwa bungeni. Nenda kwenye website ya Bunge na Wizara husika utaona na kujisomea mwenyewe achana na propaganda za wanasiasa.
 
N
Wewe unaongea hearsay bajeti ya kununua ndege ipo kwenye wizara ya miundombinu na mawasiliano na ilijadiriwa bungeni. Nenda kwenye website ya Bunge na Wizara husika utaona na kujisomea mwenyewe achana na propaganda za wanasiasa.
Nini wewee kupe wa lumumba?
 
Reactions: UCD
Au tumfutie kauli mgombea. Hilo pia linawezekana tu.
 
Bahati nzuri Mheshimiwa sana Halima Mdee ametaja hadi mwaka. Sasa naona watu wanatoa povu kwa kufuata mkumbo bila kusikiliza hata video clip yenyewe. Sijui tatizo ni bundle la kuicheza video hiyo, au sijui ni nini. Maana naona sisi tuliokuwa nje ya Bunge sasa tumeanza kukanusha hata ushahidi wa hansard.
 
Rudia tena kusikiliza bila hasira.
 
Inasikitisha Sana Kwa hiyo kila ujinga unaongea Lissu Serikali iujibu yeye kama nani
 
Inasikitisha Sana Kwa hiyo kila ujinga unaongea Lissu Serikali iujibu yeye kama nani
Mkuu watu wameamua kuhifadhi mapovu ya kutosha, maana wanaona inawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…