Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,317
- 7,808
Title ya mada imekaa kama swali kuhusu maisha in general na ukaipa sense ya kuiangalia dar kama sehem kuu ya swali. Mada imeanza kama inashaur watu kufikiria nje ya dar kwamba maisha hata katoro yapo na kuna helaVijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini?
Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la Mboto, kuanzia laki 4 per month? Kwanini vijana wanakimbilia huko?
Ukija kanda ya ziwa, mfano Katoro au kahama, hakuna anayesema vibaya kuhusu hilo miji, hebu fanya research shuka Katoro then muulize bodaboda yoyote, muulize kama unamdadisi "hapa Katoro/kahama kuna hela eeh?" Basi bodaboda atafunguka kila kitu wala hutapata mtu yoyote atakayekwambia au kusema vibaya kuhusu hiyo miji.
Nenda Morogoro huko Ifakara kuna miji kizuri inayokuwa vizuri na population ni kubwa tu, mfano daresalaam utajenga wapi kwa kipato cha kawaida? Nina jamaa yangu anafanya kazi hapo stereo temeke, amejenga kibaha, vipi hayo mateso hamyaoni?
Kwa wale waliotembea huu ni uzi wa kuwasanua wapambanaji, wilaya au halmashauri ambayo wanaweza kwenda na kufanya maisha, kuliko kwenda kurundikana daresalaam.
Je ni wilaya gani au halmashauri gani uliyotembea ukaona maendeleo?
Nitajie sehemu yenye mzinguko mkubwa wa pesa kuzidi dar ndani ya nchi hiiiTitle ya mada imekaa kama swali kuhusu maisha in general na ukaipa sense ya kuiangalia dar kama sehem kuu ya swali. Mada imeanza kama inashaur watu kufikiria nje ya dar kwamba maisha hata katoro yapo na kuna hela
Umemaliza tena kama swali kuomba watu watoe shuhuda za maeneo tofaut tofaut bila kuzingatia dar kama kitovu cha swali lako.
Mpango uliotumia kuflow idea na swali lako haujakaa sawa. Mm njijibu swali lipi hapo?. Inshort Dar sio kila kitu, kuna sehm Tanzania zina mzunguko wa hela mkuba tu kulko Dar. Kinachofanyika kuhus Dar ni Urbanization na matokeo yake. Ni sawa na kuona vijana kanda y ziwa wengi kukimbilia Mwanza.
Hayo ni madhara ya kawaida ya miji kukua, kila mtu anaamin maisha bora na ya kisasa atayapatia huko akiamin kuna fursa nyingi na muingiliano mkubwa.
Kijana sio lazima akae dar, naweza kaa kokote na maisha yakaenda
Hakuna. Dar ndo ina mzunguko mkubwa wa hela kuliko mkoa wowote. Labla aje specific areas eg Gongo la mboto vs Dodoma mjiniNitajie sehemu yenye mzinguko mkubwa wa pesa kuzidi dar ndani ya nchi hiii
Tulipokuwa shule tunafundishwa kuandika insha tuliona walimu wanatusumbua!Title ya mada imekaa kama swali kuhusu maisha in general na ukaipa sense ya kuiangalia dar kama sehem kuu ya swali. Mada imeanza kama inashaur watu kufikiria nje ya dar kwamba maisha hata katoro yapo na kuna hela
Umemaliza tena kama swali kuomba watu watoe shuhuda za maeneo tofaut tofaut bila kuzingatia dar kama kitovu cha swali lako.
Mpango uliotumia kuflow idea na swali lako haujakaa sawa. Mm njijibu swali lipi hapo?. Inshort Dar sio kila kitu, kuna sehm Tanzania zina mzunguko wa hela mkuba tu kulko Dar. Kinachofanyika kuhus Dar ni Urbanization na matokeo yake. Ni sawa na kuona vijana kanda y ziwa wengi kukimbilia Mwanza.
Hayo ni madhara ya kawaida ya miji kukua, kila mtu anaamin maisha bora na ya kisasa atayapatia huko akiamin kuna fursa nyingi na muingiliano mkubwa.
Kijana sio lazima akae dar, naweza kaa kokote na maisha yakaenda
Una utoto mwingi mnoMKOA WA KUSINI UNGUJA
Ushauri mzuri, lakini ardhi inayofaa ni ile ambayo inaweza kukuendeleza mfano kilimo, ufugaji n.kUshauri kwa vijana, pamoja na kupambana kutafuta maisha tujitahidi pia kumiliki ardhi. Biashara za uchuuzi zinaweza kutukupa kipato, lakini mara nyingi si endelevu kwa muda mrefu.
Umiliki wa ardhi unatupa nafasi ya kuingia kwenye uzalishaji na kujenga mali yenye thamani ya kudumu. Hata matajiri wakubwa kama Mohammed Dewji wamewekeza katika ardhi na uzalishaji. Tukiweza kumiliki ardhi leo,tunakuwa tumeweka msingi mzuri wa maisha ya baadaye.
Dodoma mjini mzunguko uko kwa waty specific, kuna watu hawana hela au wanapata kwa shida sana.Tena hata dodoma mjini na gongo la mboto bila shaka gongo la mboto kumezidi mzinguko
Hiyo mikoa ina mzunguko mkubwa sana ila ni mikubwa geographically, kwahiyo hauuoni kwa macho huo mzunguko. Mbagala unaendesha baiskeli ya gia unaizunguka kwa siku moja, Mbeya hata upewe wiki hauimalizi.Mzunguko wa hela Mbagala na Temeke, ni zaidi ya mkoa wa mbeya na iringa
Yeah sure, nilikua nabishana na mtu mmoja aliniambia kisesa Mwanza kuna pesa nyingi kuliko Katoro geita, nadhani pia tunachanganya population na nguvu ya kiuchumi iliyoko sehemu husika, gongo la Mboto lina watu wengi lakini haimaanishi inazidi Dodoma mjini kwa mapato.Hiyo mikoa ina mzunguko mkubwa sana ila ni mikubwa geographically, kwahiyo hauuoni kwa macho huo mzunguko. Mbagala unaendesha baiskeli ya gia unaizunguka kwa siku moja, Mbeya hata upewe wiki hauimalizi.
Iringa kwa parachichi, mbao na viazi tu inaingiza hela kuliko chupi za mtumba zinazouzwa hapo Mbagala Rangi Tatu barabarani, of course na bidhaa za Kichina zote.
Rudi darasaniHiyo mikoa ina mzunguko mkubwa sana ila ni mikubwa geographically, kwahiyo hauuoni kwa macho huo mzunguko. Mbagala unaendesha baiskeli ya gia unaizunguka kwa siku moja, Mbeya hata upewe wiki hauimalizi.
Iringa kwa parachichi, mbao na viazi tu inaingiza hela kuliko chupi za mtumba zinazouzwa hapo Mbagala Rangi Tatu barabarani, of course na bidhaa za Kichina zote.
Shibela wawiza wanitogwisha nho!😂😂😂🎶🎶🎶Abaabaababaa🎵🎵ababaaabaa Prakatatumba a tumba atumba Prakataaa🎶🎵🎵🎵
Enewei :Tunduma,Njombe,Ifakara,Kahama,katoro, Mwanza kwa ujumla!
Kuanzia Mbande kisewe, Mbande Kiponza, Mbande Rufu, Kisewe kwa Mwalile ,kisewe Tarime.Hiyo mikoa ina mzunguko mkubwa sana ila ni mikubwa geographically, kwahiyo hauuoni kwa macho huo mzunguko. Mbagala unaendesha baiskeli ya gia unaizunguka kwa siku moja, Mbeya hata upewe wiki hauimalizi.
Iringa kwa parachichi, mbao na viazi tu inaingiza hela kuliko chupi za mtumba zinazouzwa hapo Mbagala Rangi Tatu barabarani, of course na bidhaa za Kichina zote.
Achana na stori za kuzunguka na basikeliHiyo mikoa ina mzunguko mkubwa sana ila ni mikubwa geographically, kwahiyo hauuoni kwa macho huo mzunguko. Mbagala unaendesha baiskeli ya gia unaizunguka kwa siku moja, Mbeya hata upewe wiki hauimalizi.
Iringa kwa parachichi, mbao na viazi tu inaingiza hela kuliko chupi za mtumba zinazouzwa hapo Mbagala Rangi Tatu barabarani, of course na bidhaa za Kichina zote.