MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Huyu T14 Armata aje kujibu hapaAchana na stori za kuzunguka na basikeli
Twende na data
View attachment 3615772
View attachment 3615771
Huyu T14 Armata aje kujibu hapaAchana na stori za kuzunguka na basikeli
Twende na data
View attachment 3615772
View attachment 3615771
kwahiyo unataka kutuaminisha fursa za kiuchumi zipo katoro na kahama tu?Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini?
Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la Mboto, kuanzia laki 4 per month? Kwanini vijana wanakimbilia huko?
Ukija kanda ya ziwa, mfano Katoro au kahama, hakuna anayesema vibaya kuhusu hilo miji, hebu fanya research shuka Katoro then muulize bodaboda yoyote, muulize kama unamdadisi "hapa Katoro/kahama kuna hela eeh?" Basi bodaboda atafunguka kila kitu wala hutapata mtu yoyote atakayekwambia au kusema vibaya kuhusu hiyo miji.
Nenda Morogoro huko Ifakara kuna miji kizuri inayokuwa vizuri na population ni kubwa tu, mfano daresalaam utajenga wapi kwa kipato cha kawaida? Nina jamaa yangu anafanya kazi hapo stereo temeke, amejenga kibaha, vipi hayo mateso hamyaoni?
Kwa wale waliotembea huu ni uzi wa kuwasanua wapambanaji, wilaya au halmashauri ambayo wanaweza kwenda na kufanya maisha, kuliko kwenda kurundikana daresalaam.
Je ni wilaya gani au halmashauri gani uliyotembea ukaona maendeleo?
Huna exposure, zunguka uione dunia. Mm nmezsliw n kukulia dar ila dar hsina circle kubwa ys hela kam huo mkoa. Usiropoke ropoke tuUna utoto mwingi mno
Kuna kitu kinaitwa migration patterns! Huwezi pingana na nature.Nilizaliwa lugalo.
Leo hii hapa nilipo hii manispaa Mimi ni mama wa nguvu.
Popote ulipo kijina ke au me pigania unachoamini Mengine majaaliwa.
Isingeongoza Kwa idadi kubwa ya mafukara.Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini?
Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la Mboto, kuanzia laki 4 per month? Kwanini vijana wanakimbilia huko?
Ukija kanda ya ziwa, mfano Katoro au kahama, hakuna anayesema vibaya kuhusu hilo miji, hebu fanya research shuka Katoro then muulize bodaboda yoyote, muulize kama unamdadisi "hapa Katoro/kahama kuna hela eeh?" Basi bodaboda atafunguka kila kitu wala hutapata mtu yoyote atakayekwambia au kusema vibaya kuhusu hiyo miji.
Nenda Morogoro huko Ifakara kuna miji kizuri inayokuwa vizuri na population ni kubwa tu, mfano daresalaam utajenga wapi kwa kipato cha kawaida? Nina jamaa yangu anafanya kazi hapo stereo temeke, amejenga kibaha, vipi hayo mateso hamyaoni?
Kwa wale waliotembea huu ni uzi wa kuwasanua wapambanaji, wilaya au halmashauri ambayo wanaweza kwenda na kufanya maisha, kuliko kwenda kurundikana daresalaam.
Je ni wilaya gani au halmashauri gani uliyotembea ukaona maendeleo?
Mkuu mada inazungumzia watafuta maisha, hakuna mmiliki wa yard ni mganga njaa. Na huwezi kuwa mmiliki wa yard ukaiweka Sumbawanga wakati bandari kubwa ipo Dar. Hapa mleta mada kaleta wazo la kutafuta maisha nje ya Dar na huyu mtegemea bandari ana options chache kama Dar, Tanga na Mtwara.Rudi darasani
Temeke ambayo kuna Bandari unataka kuilinganisha na mbeya ?
Wewe unaongelea wamachinga, hata hao kwa ujumla wao wanamzunguko mkubwa kuliko mbeya
Temeke ndio kuna Yard zote za magari makubwa, ICD za kutosha
Kijana rudi darasani
Mkuu mada inalinganisha Councils au inalinganisha maisha ya watafutaji, lower earners?Achana na stori za kuzunguka na basikeli
Twende na data
View attachment 3615772
View attachment 3615771
Mtu aliezaliwa dar hawezi kuwa mpuuzi kiasi hiki nitajie mkoa wenye mzinguko wa pesa kuzidi darHuna exposure, zunguka uione dunia. Mm nmezsliw n kukulia dar ila dar hsina circle kubwa ys hela kam huo mkoa. Usiropoke ropoke tu
Naomba nitajie maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa kuliko Dar ili nihame Dar chap!Title ya mada imekaa kama swali kuhusu maisha in general na ukaipa sense ya kuiangalia dar kama sehem kuu ya swali. Mada imeanza kama inashaur watu kufikiria nje ya dar kwamba maisha hata katoro yapo na kuna hela
Umemaliza tena kama swali kuomba watu watoe shuhuda za maeneo tofaut tofaut bila kuzingatia dar kama kitovu cha swali lako.
Mpango uliotumia kuflow idea na swali lako haujakaa sawa. Mm njijibu swali lipi hapo?. Inshort Dar sio kila kitu, kuna sehm Tanzania zina mzunguko wa hela mkuba tu kulko Dar. Kinachofanyika kuhus Dar ni Urbanization na matokeo yake. Ni sawa na kuona vijana kanda y ziwa wengi kukimbilia Mwanza.
Hayo ni madhara ya kawaida ya miji kukua, kila mtu anaamin maisha bora na ya kisasa atayapatia huko akiamin kuna fursa nyingi na muingiliano mkubwa.
Kijana sio lazima akae dar, naweza kaa kokote na maisha yakaenda
Wew uliwah kukaa wap na wapi kwanza mana nisije kuhangaika na kixhwa maji kama Mnachihanguu ! Yan yeye na mkuntu wake wote vichwa majiNaomba nitajie maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa kuliko Dar ili nihame Dar chap!
Mana mnaishi kwa kukariri kariri tu hamjui kituNaomba nitajie maeneo yenye mzunguko mkubwa wa pesa kuliko Dar ili nihame Dar chap!
Umetajiwa unataka utajiwa tena unataka kichwa cha uboho kikurungure au vipi?Mtu aliezaliwa dar hawezi kuwa mpuuzi kiasi hiki nitajie mkoa wenye mzinguko wa pesa kuzidi dar
Vertical au hoizontal huwaga ni form za nn?Kuna kitu kinaitwa migration patterns! Huwezi pingana na nature.