Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi,
Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi?
Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani bora ndio linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 mpaka 3.5Ton?
Je, Kwa vigezo vya uimara, matumizi ya mafuta, uwezo wa kufanya kazi, upatikanaji wa spare, upatikanaji wa mafundi, uimara wa engine, mnashauri gari lipi linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T?
Je, bei ya gari hiyo kwa sasa ikoje?
Bei ya kuagiza toka nje (used ya Japan).
Bei ya kununua kutoka kwa mtu Tanzania (used ya kibongo).
Mad Max Offshore Seamen JituMirabaMinne t blj Kichuguu Chivundu