Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

Naona kila mtu anaisifia 4D33, je kuna engine nyingine ambayo ni nzuri na imara kama 4D33 au zaidi yake?
Maneno ya mafundi tu, 4d 33 sio imara kivile! Nimebahatika kutumia engine karibu 5 za mitsubishi canter kwenye shuguli zangu za utafutaji ( 4d 32, 4d31, 4d 33, 4d35 na 4m51)
The best of both worlds ni 4m51, inafuel consumption nzuri, nguvu za kutoaha na inadumu, sema mafundi wengi hawajui kuzitengeneza ndo maana wanazikimbia na kuzibeza.
4d33 kwenye kazi nilizokuwa nafanya ilidai overhaul mapema sana
 
Okay Mkuu. Umeniongezea upeo wa kufikiri. Mafundi wakiwa hawajui kutengeneza gari, wanasema gari ni mbovu, halifai, gari ni mayai.
 
Tena hakikisha ni 4D33 single filter.
Je engine ipi inafaa kwa zile canter kubwa kabisa? Za tani 3.5 ambazo zinabebea vitu toka vijijini hadi mikoani kwenda mikoa mingine? Au na zenyewe zinatumia engine ya 4D33?
 
4D33 sababu ya uimara wake, pia kuna jamaa anayo anapakia hadi tani 5. 4D34 na 4D35 zinasumbua sana mara kuchemsha ndio tatizo common na kuwahi kula ring piston.

Ila wengi wanatumia 4D34 turbo au 4D35 kwa ajili ya nguvu ili wabebe mzigo mkubwa zaidi.
 
injini ya 4D32 ni pendekezo langu,kama una kipato kidogo,mgeni wa magari ya mizigo kwa sababu chache nazozifahamu:inatengenezeka kibongo,ulajimzuri wa mafuta(dereva mstaarabu).
 
Back
Top Bottom