Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
- Thread starter
- #21
Nimeuliza mafundi. Wengi wanasema 4D33 iko vizuri, hizo zingine 4D34 na 4D35 sio nzuriKama ni tani 1.5 chukua yenye engine ya 4m40,, tani za juu ni D33 D34 Na D35
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeuliza mafundi. Wengi wanasema 4D33 iko vizuri, hizo zingine 4D34 na 4D35 sio nzuriKama ni tani 1.5 chukua yenye engine ya 4m40,, tani za juu ni D33 D34 Na D35
Baadhi ya Mafundi wanasema hizo engine ni mbayavp kuhusu 4m51 engine wakuu
Shida ipo upande gani hasaBaadhi ya Mafundi wanasema hizo engine ni mbaya
Hujataja engine mkuuNina canter ina engine hii huu unaenda mwaka wa 15 sijagusa engine
Mwaka 2009 hadi 2016 ilikuwa ni daily runner, baadaye nikaipumzisha kifanya vishughuli vya hapa na pale, ukiiwasha muda huu unaeenda poppte Tanzania ukiacha visiwani
Kuhusu magari ya Toyota Dyna na Toyoace, hoja ya mafundi inaweza kuwa na msingi au la, kulingana na hali na matumizi ya magari hayo. Hapa chini nitakujibu maswali yako kwa kina:Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi,
Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi?
Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani bora ndio linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 mpaka 3.5Ton?
Je, Kwa vigezo vya uimara, matumizi ya mafuta, uwezo wa kufanya kazi, upatikanaji wa spare, upatikanaji wa mafundi, uimara wa engine, mnashauri gari lipi linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T?
Je, bei ya gari hiyo kwa sasa ikoje?
Bei ya kuagiza toka nje (used ya Japan).
Bei ya kununua kutoka kwa mtu Tanzania (used ya kibongo).
Mad Max Offshore Seamen JituMirabaMinne t blj Kichuguu Chivundu
4m51 inataka ufanye kazi ikiwa na mafuta mengi kwenye Tank, kumbuka hii engine inatumia rotary diesel pump, kwa hiyo haina oil lubrication, badala yake inategemea hayo hayo mafuta kama kilainishi cha pump, unapofanya kazi ikiwa na mafuta machache kwenye tank maana yake mafuta hayo yatapata joto na hivyo kupoteza uwezo wa kulainisha, matokeo yake fuel rottor na metering. Vinakufa.Shida ipo upande gani hasa
4m51Hujataja engine mkuu
1. Je mileage inayofaa kuagiza ni km ngapi?Kuhusu magari ya Toyota Dyna na Toyoace, hoja ya mafundi inaweza kuwa na msingi au la, kulingana na hali na matumizi ya magari hayo. Hapa chini nitakujibu maswali yako kwa kina:
---
1. Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Mafundi wanaweza kuwa sahihi au wapotoshaji kulingana na mambo yafuatayo:
Matumizi ya gari:
Toyota Dyna na Toyoace ni magari maarufu kwa shughuli za kubeba mizigo, lakini huenda mafundi wanasema hayana uimara kwa sababu magari haya yanaweza kuchakaa mapema ikiwa yatatumika kupitiliza uwezo wake wa kubeba (overloading).
Umri wa gari:
Magari ya zamani au yaliyotumika vibaya (used) yanaweza kuwa na shida nyingi, lakini hiyo haimaanishi Toyota Dyna na Toyoace sio magari mazuri.
Utunzaji na matengenezo:
Magari haya yanahitaji matengenezo ya mara kwa mara. Ikiwa mmiliki hatunzi injini, mfumo wa kusimamisha gari (suspension), au mfumo wa breki, basi shida zitaanza kujitokeza haraka.
Kwa ujumla, Toyota Dyna na Toyoace ni magari imara kwa matumizi ya mizigo ya wastani, lakini yanachakaa haraka kama yamezidishiwa kazi au hayajatunzwa vizuri.
---
2. Je, wajuzi wa magari wanashauri gari gani bora kwa mizigo ya tani 2–3.5?
Magari bora kwa mizigo ya tani 2–3.5 yanapaswa kuwa na sifa hizi:
Injini yenye nguvu lakini isiyokula mafuta kupita kiasi.
Muundo thabiti wa chasi (frame) kwa mizigo mizito.
Upatikanaji rahisi wa vipuri (spare parts).
Mafundi wenye ujuzi wa kutosha wa kutengeneza gari hilo.
Magari yanayoshauriwa:
Isuzu Elf (NKR/NPR): Maarufu kwa uimara na matumizi ya mafuta ya wastani. Pia, ina uwezo mzuri wa kushughulikia mizigo ya tani 2–3.5.
Mitsubishi Canter: Gari linalojulikana kwa injini imara, muundo thabiti, na upatikanaji rahisi wa spare parts.
Hino Dutro: Uimara wa injini na utendaji wake ni wa juu. Pia ni maarufu katika nchi nyingi za Afrika.
Toyota Dyna (Newer Models): Ikiwa ni mpya au iliyotunzwa vizuri, ni chaguo zuri kwa mizigo ya tani 2–3.5.
---
3. Bei za magari haya kwa sasa zinakwendaje?
Bei ya kuagiza (Used kutoka Japan):
Isuzu Elf (2008–2014): USD 9,000–15,000 (bila kodi).
Mitsubishi Canter (2008–2014): USD 8,000–14,000 (bila kodi).
Toyota Dyna (2008–2014): USD 7,000–12,000 (bila kodi).
Hino Dutro (2008–2014): USD 9,000–15,000 (bila kodi).
Kodi Tanzania (TRA):
Kodi huongezwa kulingana na umri wa gari, ukubwa wa injini (cc), na thamani ya gari. Kwa magari haya ya mizigo, kodi inaweza kuwa kati ya TZS 10M–20M.
Bei ya kununua Tanzania (Used ya kibongo):
Isuzu Elf: TZS 35M–65M, kulingana na hali ya gari.
Mitsubishi Canter: TZS 30M–60M.
Toyota Dyna: TZS 28M–55M.
Hino Dutro: TZS 38M–70M.
---
4. Ushauri wa jumla kwa vigezo ulivyotaja:
Kwa kuzingatia uimara, matumizi ya mafuta, uwezo wa kufanya kazi, upatikanaji wa spare, na uimara wa injini:
Bora Zaidi: Isuzu Elf na Mitsubishi Canter – Injini imara, chasi thabiti, na spare parts zenye upatikanaji rahisi.
Chaguo Mbadala: Hino Dutro – Injini imara sana na haina matatizo mengi, lakini spare parts zinaweza kuwa ghali kidogo.
Chaguo la Gharama Nafuu: Toyota Dyna – Ni rahisi kuendesha na kutengeneza, lakini inahitaji utunzaji mzuri ili kudumu.
---
Kama unahitaji msaada zaidi juu ya gharama za kuagiza, usajili, au bima, niambie. Naweza pia kusaidia kutafuta wauzaji wanaoaminika.
Shukrani mkuu, kuna siku ntakutafuta for more details mkuu4m51 inataka ufanye kazi ikiwa na mafuta mengi kwenye Tank, kumbuka hii engine inatumia rotary diesel pump, kwa hiyo haina oil lubrication, badala yake inategemea hayo hayo mafuta kama kilainishi cha pump, unapofanya kazi ikiwa na mafuta machache kwenye tank maana yake mafuta hayo yatapata joto na hivyo kupoteza uwezo wa kulainisha, matokeo yake fuel rottor na metering. Vinakufa.
4m51
Yaan naona kabisa vile angekuja jirani ungemlamba makofi.Uwe unaelewa,Canter ni aina ya Mitsubishi hakuna aina yoyote ya Toyota inaitwa Canter.
Mimi sizungumzii hizo Toyota Dyna wala Toyoace bali nimemjibu aliyeandika Toyota Canter ndiyo nikasema sijawahi kuiona hiyo Toyota Canter.
🤣Yaan naona kabisa vile angekuja jirani ungemlamba makofi.
Hahaa bora hata angesema nissan na mitsubishi kuna vitu wame shareSijui jamaa kaifuma wapi Toyota Canter!
🤣 kafanisha body, dyna za mizigo zinataka kufanana na canter.Hahaa bora hata angesema nissan na mitsubishi kuna vitu wame share
Personal Naona Canter nzuri zaidiKuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi,
Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi?
Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji?
Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani bora ndio linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 mpaka 3.5Ton?
Je, Kwa vigezo vya uimara, matumizi ya mafuta, uwezo wa kufanya kazi, upatikanaji wa spare, upatikanaji wa mafundi, uimara wa engine, mnashauri gari lipi linafaa kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T?
Je, bei ya gari hiyo kwa sasa ikoje?
Bei ya kuagiza toka nje (used ya Japan).
Bei ya kununua kutoka kwa mtu Tanzania (used ya kibongo).
Mad Max Offshore Seamen JituMirabaMinne t blj Kichuguu Chivundu
Canter ipi ungetaja jina la enginePersonal Naona Canter nzuri zaidi
4D 33Canter ipi ungetaja jina la engine
Naona kila mtu anaisifia 4D33, je kuna engine nyingine ambayo ni nzuri na imara kama 4D33 au zaidi yake?4D 33
Kwenye magari Ukitafuta unique ujiandae kusufferNaona kila mtu anaisifia 4D33, je kuna engine nyingine ambayo ni nzuri na imara kama 4D33 au zaidi yake?