Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Mleta mada anafumbia macho haya,anadeal na angle anayoona ni nafuu kwake kupotosha watu!Na hii ndo imeua biashara nyingi, purchasing power ya watu imepungua hivyo kupunguza kasi ya mzunguko wa pesa huku Kodi zikiwa za kukomoana.Ila malengo yake ya kuwafanya watu waishi Kama mashetani yametimia
Hiyo imefanyika wapi duniani?Mkuu kwa hiyo wewe hapo ndo umetoa hoja? I thought unakuja na hoja ya namna flyover inavyomsaidia mtu asiye na kazi ya kumuingizia kipato kuingiza pesa
Mengi aliyoyatenda ndio yametupeleka kwenye uchumi wa katiKwa hiyo hayo mengi aliyofanya ndo yamepelekea kuongeza only USD 100 kwenye GNI na kuvuga kabisa market systems za mazao ya korosho,kahawa,mbaazi na tumbaku huku ukuaji wa uchumi ukiongezeka kutoka 7% hadi 4% si ndiyo mkuu?
Kwani aliyeua sector binafsi nchi hii ni nani mkuu?Mafanikio makubwa yanagharama zake. Mwaka huu mshahara umeongezwa. Kuhusu ajira ni lazima ujue haiwezekani kila mtu akaajiriqa na serikali. Serikali inatengeneza mazingira mazuri kupitia PPP na huko ajira rasmi na zisizo rasmi hutokea...
Kwenye uchumi kwa ujumla Rais Magufuli amepepesuka sana. Ni sawa na mtu anayeanzisha kiwanda cha magunia ya kuwekea nafaka halafu kila siku anatuma watu kwenda kufyeka mashamba yote yanayozalisha nafaka. Hayo magunia utaweka nini?Mafanikio makubwa yanagharama zake. Mwaka huu mshahara umeongezwa.
Kuhusu ajira ni lazima ujue haiwezekani kila mtu akaajiriqa na serikali. Serikali inatengeneza mazingira mazuri kupitia PPP na huko ajira rasmi na zisizo rasmi hutokea.
Ajira za walimu zimetangazwa. Najua bado eneo hilo lina changamoto ila tutafika pazuri zaidi
Asante, ndio hiyo; kiabakariHalafu hiyo kyabakari kama una manisha ile iliyopo Butiama-Musoma inaitwa Kiabakari
Ndo yameongeza USD 100.00 in five years? Kweli jamaa ni jembeMengi aliyoyatenda ndio yametupeleka kwenye uchumi wa kati
Kwa uelewa wangu ni kuwa sekta binafsi haijakufaKwani aliyeua sector binafsi nchi hii ni nani mkuu?
Kaka yani mafanikio yanayoongelewa na wenzetu sijui wenyewe wanangalia kwa kutumia darubini-yani ukitembea mikoa hali za watu zipo chini sana.Hivyo ulivyovitaka ni vitu muhimu lakini ni vidogo sana kwa Taifa. Havihitajiki kuwa wimbo wa kila siku..
Aliyefanya kazi kubwa kutupeleka kwenye uwigo wa chini wa uchumi wa kati (hatujafika uchumi wa kati) ni Mkapa na Kikwete. Hawa kwa vipindi vyao vya uongozi walipandisha per capita ya mtanzania kwa zaidi ya dola 400. Magufuli miaka 5 amepandisha per capita kwa dola 100. Magufuli administration has been the worst of all.Mengi aliyoyatenda ndio yametupeleka kwenye uchumi wa kati
Sijijui mbona unataka kubisha tuu? Hebu niambieni, unajua kuwa Tanzania imetangazwa kuingia kwenye uchumi wa kati? Unafikiri ni vigezo gani vilitumika kutuweka hapo?Ndo yameongeza USD 100.00 in five years? Kweli jamaa ni jembe
Kwa genius Magu, fly over imeongeza kukua kwa uchumi toka 7% to 4%Hiyo imefanyika wapi duniani?
Nakubaliana na wewe. Kwa vipimo vyote, uchumi kwa ujumla wa nchi ukuaji wake umeanguka. Maendeleo ya watu yameanguka zaidi. Ukichanganya na ongezeko la watu, hali imekuwa mvaya zaidi.Kaka yani mafanikio yanayoongelewa na wenzetu sijui wenyewe wanangalia kwa kutumia darubini-yani ukitembea mikoa hali za watu zipo chini sana.
Sio lazima iwe hivyo Ila pata picha Bibi yako anaumwa huko unaposema halafu anatakiwa asafirishwe haraka kupelekwa Muhimbili na hakuna usafiri mwingine wowote zaidi ya gari, hata Kama mna hela hela hiyo inaweza isisaidie sana. Hatahivyo, simaanishi kuwa Ni lazima wagonjwa wote wasafirishwe kwa ndege ila nimeonesha umuhimu wake.Kwamba Bibi yangu akiumwa huko Mpwapwike Ndugu wachangishane Ili tumpakie Bibi kwenye Ndege..... Serious?
Kwanza ni uwongo kueleza kuwa tumetangazwa kuingia kwenye uchumi wa kati. Sisi tumefikia lower boundary ya uchumi wa kati. Lakini kwa kiasi kikubwa waliotufikisha hapo ni Mkapa na Kikwete, siyo Magufuli. Kikwete na Mkapa, kila mmoja alitupandisha kwa wastani wa zaidi ya dola 400. Magufuli miaka yake yote mitano katupandisha kwa dola 100 tu.Sijijui mbona unataka kubisha tuu? Hebu niambieni, unajua kuwa Tanzania imetangazwa kuingia kwenye uchumi wa kati? Unafikiri ni vigezo gani vilitumika kutuweka hapo?