Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Huyo Jiwe wenu atapigiwa kura na flyover , Madaraja Stiegersgorge , Standard Gauge na Bombadier zake sisi hazituhusu na uwanja wake wa chato na mbuga yake ya Burigi ndio vitampigia kura si ndio ameona vya muhimu kuliko binadamu.