Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

Unaweza kutoa udhibitisho hata wa kimazingira juu ya hicho unachokisema?, au na wewe ni wale wale tu maroboti?
 
Embu mwacheni mzee wa watu hapumzike
Huyo mzee wako hata pumzika hadi kizazi hiki cha waliomshuhudia akiwa kiongozi kiishe.
Alijisahau sana yule jamaa, na ni ujinga ambao mtu mwingine hapaswi kurudia kuufanya.
Cheo ni dhamana ambayo unapewa na watu, badala ya kuwashukuru na kutenda yakupasayo kwa moyo wako wote hasa ukizingatia kuwa cheo hicho kitakufanya wewe na familia yako muishi kwa raha wewe unawageuzia kibao watu hao na kuwapa mateso na vifo?
Ashukuru sana corona ilimchukua hapo ndio pona yake, lakini watu kama yeye wengi wanaishia kama Samwel Doe.
 
Mbona walipandishwa vyeo ndugu?
 
Habari JF ,binafsi huwa nakuwa na Shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu mbowe

Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakan...
Kesi ile ya Mbowe iliandaliwa na mwendazake kwa madhumuni ya kukifutilia mbali CHADEMA,kwamba kama Mbowe ni gaidi basi na wafuasi wake wote ni magaidi hivyo chadema kimekosa uhalali wa kuwa chama cha siasa na kuwa chama cha kigaidi zaidi.
 
Waliotaka Lowasa, Mbowe wafe wametangulia wao.

Rip komba, Sitta, kombani, mwendazake, mtikila, Mshana
 
Habari JF ,binafsi huwa nakuwa na Shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu mbowe

Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani...
Sema tu unataka tu unataka kumnaga hayati. Lakini kila kitu kinajulkana. JAJI liganga alishamaliza kazi kesi ilikuwa ya Mchongo ndio Maan Mama aliitema.
 
Modus operand za serikali za kidikiteta,huwa zinafanana,
Zuia mawazo binafsi, bana vyombo vya habari ua wapinzani, funga wapinzani, wazungu wanaita attach on descent...
Mpaka wakepeleka pesa za umma China😅😅😅
 
Habari JF ,binafsi huwa nakuwa na Shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu mbowe

Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani...
Day light dreams
 
Magufuli alishirikiana na Samia kuandaa kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, ndio maana aliithibitishia BBC kuwa ni gaidi na alikimbia kujificha Kenya
 
Pamoja na kwamba udikteta mkubwa ni mbaya lakini kwa Nchi zetu hizi za Africa bila kuwepo na kaudikteta dikteta mambo mengi hayaendi kama inavyopaswa kwenda !! Nitajie Nchi za Africa zinazoitwa Zimeendelea !! Developed Countries !!
 
Magufuli alishirikiana na Samia kuandaa kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, ndio maana aliithibitishia BBC kuwa ni gaidi na alikimbia kujificha Kenya
Kwa katiba hii iliyopo hakuna kiumbe chochote kinachoweza kumkatalia Mkuu wa Nchi kitu chochote akitaka kifanyike !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…