Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

Baada ya uchaguzi wa 2020, Mwendazake alidhamiria kuiangamiza CDM kabisa. Baada ya mbinu ya kununua wapinzani kuto kuleta matunda yaliyotarajiwa na ugumu alioupata kwenye campaign za 2020 na kwa jinsi Lissu alivyo mkalia kooni na kumpelekesha kwenye campaign dhamira yake ilikuwa kumaliza game kwa kuua yeyote ambaye alionekana hatari au kuwafungilia kesi za ugaidi ili waozee gerezani.

Utakumbuka pia Mwendazake alitaka kubadili katiba ili agombee tena 2025...hivyo alikuwa hataki kabisa kelele wakati wa mchakato wa mabadiliko ya katiba.

Very true
 
Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe.

Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani.

Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au Wananchi?

Ilifunguliwa kwe lengo gani? Maana kwa Awamu ya Tano Mbowe alinyamazishwa na akanyamaza tofauti na Tundu Lissu.

Ushahidi ulikuwepo hata kabla uchaguzi 2020, ni Kesi yenye shutuma nzito vile, kwanini haikufunguliwa mapema ikichukuliwa ingeidhoofisha CHADEMA uchaguzi 2020?

Kwa haya mazingira ni kweli serikali ya awamu ya Tano ilihusika na ilikuwa kwa lengo lipi? Au ndio ulikuwa mwanzo wa kinachoitwa sasa ni Maridhiano?
Mbowe kawa mwenyekiti wako tena?
 
Nyie kila mipango yenu ikifeli,mnamsingizia Magufuli.

Ila Magufuli huyo huyo ndiye aliyeifanya ccm ianze walau kukubalika kwa wananchi.nakumbuka wakati wa kikwete ilifikia point mtu ukionekana umevaa linguo la kijani mtaani watu wanakuzomea,huyu mwamba wa lake zone ndiye akaja kurekebisha mambo.

Na sasa tunakoelekea ni kule kule kwa enzi za kikwete.
Ikafikia hatua ukivaa nguo ya kumwombea lissu anakufanyaje vile?
 
Unaweza kutoa udhibitisho hata wa kimazingira juu ya hicho unachokisema?, au na wewe ni wale wale tu maroboti?
Sio kweli huyu mwamba acheni kumsingizia
1679049328988.png
1679049477853.png
1679049584960.png
 
In other words. Mbowe ana busara na si mropokaji.

Sijawahi msikia Mbowe akimtusi mpinzani wake yeyote hata akiwa amepiga Faru John. Tofauti na yule Mbelgiji - yule wanaendana na Mdude.
Ilinibidi nicheke tu
 
Wewe unamzungumzia Mbowe huyo anayelewa na kusingizia kapigwa na watu wasiojulikana,Kamanda Nnayemkubali kwenye Upinzani wa kweli wa Taifa hili alimuwaga Augustine Lyatonga Mrema (RIP) Na Pro.

Ibrahim Lipumba aliyepigwa na kuvunjika Mkono, hawa wengine ata wakitiwa tairi shingoni au Fungwa jiwe tumbukizwa baharini hakuna shida.
We hujui kitu..
Lyatonga Mrema (Rip) na Prof. Lipumba ni mataga!
 
Habari JF, binafsi huwa nakuwa na shaka sana na upinzani wa Mwenyekiti wangu Mbowe.

Kuna muda huwa napata mawazo ni mtu aliyewekwa kimkakati kuhakikisha CCM haitoki madarakani.

Nimekaa nimejiuliza sana, je, Kesi ya Mbowe ilianza kusikilizwa kwa benefits au faida kwa Awamu ya Tano au Sita au Wananchi?

Ilifunguliwa kwe lengo gani? Maana kwa Awamu ya Tano Mbowe alinyamazishwa na akanyamaza tofauti na Tundu Lissu.

Ushahidi ulikuwepo hata kabla uchaguzi 2020, ni Kesi yenye shutuma nzito vile, kwanini haikufunguliwa mapema ikichukuliwa ingeidhoofisha CHADEMA uchaguzi 2020?

Kwa haya mazingira ni kweli serikali ya awamu ya Tano ilihusika na ilikuwa kwa lengo lipi? Au ndio ulikuwa mwanzo wa kinachoitwa sasa ni Maridhiano?
Siyo siri, Magufuli alikuwa Rais Mbambikaji No One katika kesi nyingi.
Mzee Shamte wa TPSF alibambikwa kesi na akafia gerezani.
Kisa?
Alimsahihisha Magufuli hadharani juu ya matatizo ya wafanya biashara.
 
Back
Top Bottom