Je, ni kweli Hayati Magufuli alihusika katika kuandaa kesi ya ugaidi ya Mbowe? Ilikuwa kwa lengo lipi?

Mmh! Yeye mwenyewe alisema Hana mpango wa kubadilisha katiba, unamlisha maneno kwa kuwa hayupo sio Acha roho mbaya
 
Kulazimisha kupendwa kwa kutumia nguvu ya dola ni utopolo tu.
 
Kila kitu kinawezekana kwa siasa za wakati ule wa Giza.
 
Hawa watu sijui Wana hali gani siku hizi. Wanajisikiaje kumuona Mbowe akiwa juu
Mbowe yuko juu kwani ni mkuu wa Majeshi,waziri wa ulizi au makamu wa raisi?.
Alichokifanya Mama ni uoga tu wa kisiasa na mataifa ya magharibi,sawa alichokifanya Pilato kumwachia Jambazi na Muuaji mkuu Barba akamsulubisha Yesu.
 
Kwani SERIKALI yoyote Duniani inapowafunga Waua Wapinzani wanakuwa na lengo gani?
 
Mbowe yuko juu kwani ni mkuu wa Majeshi,waziri wa ulizi au makamu wa raisi?.
Alichokifanya Mama ni uoga tu wa kisiasa na mataifa ya magharibi,sawa alichokifanya Pilato kumwachia Jambazi na Muuaji mkuu Barba akamsulubisha Yesu.
Uko sahihi
 
Sio kweli huwezi kuandaa kesi dhidi ya kingpin wa uharifu akiwa uraiani bila kukamatwa na kuhojiwa kisha taratibu za kisheria kupelekwa mahakamani au kuachiliwa hazijafanyika.
Uovu wa kumchafua JPM ulianzia hapo bila kujijuwa wahusika kwa kuwa walisukumwa malsahi binafsi
 
Uko sahihi
Tanzania ni yetu sote lazima tuwasemee wenzetu walamba Asali waache kutusalit...Uzuri mwenye hicho kibuyu cha Asali yupo humu na anapitiaga comment za watu alisema mwenyewe.
 
Kwa jinsi yule bwana alivyokuwa katili inawezekana.
 
Ushahidi ulikuwepo hata kabla uchaguzi 2020, ni Kesi yenye shutuma nzito vile, kwanini haikufunguliwa mapema ikichukuliwa ingeidhoofisha CHADEMA uchaguzi 2020?
Huenda wahusika waliona haina mashiko kipindi hicho hivyo waliipuza ila waliifufua baadae ili kumkomoa Mbowe na kuifunga mdomo Chadema.

JokaKuu zitto junior Kalamu
 
Huenda wahusika waliona haina mashiko kipindi hicho hivyo waliipuza ila waliifufua baadae ili kumkomoa Mbowe na kuifunga mdomo Chadema.

JokaKuu zitto junior Kalamu
Lengo lilikuwa ni kuiua CHADEMA toka mwanzo na mwisho; kwa hiyo haijalishi kesi ilianza kutengenezwa lini na kuungurumishwa lini.

Lakini, kwa uhakika kabisa, kama Magufuli asingeondoka, CHADEMA tuijuavyo chini ya Mbowe ilikuwa imekwisha.
Mbowe wakati huu angekuwa anasota lupango.
 
Sidhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…