katika fumanizi zote zilizonikuta niliweza kumtuliza mwenye mke na kuondoka bila hata ya kupigwa singi,mimi huwa natembea na bunduki na ukileta masihara huwa sikopeshi.
Nalog off
usigope bi dada bunduki yenyewe ni ya bandia,haya twende kwenye mchakato wetu sasa.Hee,mbna unantisha tena? Yani na bunduki unatembea nayo!! Utanfanya niahirishe mchakato wewe
ndio lazima iwe hivyo kwasababu mimi ndiye Washawasha wa ukweli.Anataka kulazimisha alivyo yeye au awazavyo yeye iwe sahihi kwa kila mtu.....
Mliosoma mnafaidi mie sijaelewa chochote kile kwenye haya maandishi."Cool Down" Lucky DubeThey've been married
For seventeen years
But u can see
She don't trust him at all
And you can see she don't believe that he is not cheating
You can't blame a poor girl
He's been a busy man all his life, just like the rest of us
One day she caught him with another girl
He said it was his mother
She caught with another one
He said it was his sister
He's in deep water again
I don't know what he gonna say today but I won't be surprise
if he gets out of this one like the other ones
'Cause I know he's the Houdini
Of cheaters, hear him now when he says
[Chorus:]
Cool down baby everything is under control
It doesn't matter where I get my appetite
I will always eat at home [x2]
Ooooooooooh, ooooooooooooooooh
They've been married for seventeen years
But you can see
He don't trust her at all
And you can see he don't believe
She's not cheating
You can't blame a poor man
She's been a busy girl
All her life-jus like the rest of us
One day he caught her with another man
She said it was her father
He caughther with another one
She said it was her brother
I believe that it is true
Birds of a feather fly together
She has learned from master
I wasn't surprise at all
When I heard her say-ey
[Chorus]
Anatuonea donge huyu jamaa ila wala usihofu bi dada najua mwishowe atatufurahia tu.Yes ndo 2tapata pa kuanzia mchakato huo
Santeee na hiyo ndio maana yake kiongozi kwanini iwe ya mmoja tu wakati wako wengi?
Nalog off
hakuna cha upuuzi hapo nilichokisema umekielewa vizuri tu na ndio maana unataka kuanza ligi sasa.Hayo uliyoyaandika hapa hakuna hata moja nisilolijua.------- mkubwa wewe!! ulichokisema hapo na lengo la uzi wako ni sawa?? auu una-post thread ili uonekane kuwa upo? acha upumbavu, ina maana unakubali mke wako atoke na mwanaume mwingine? utajisikiajd? harafu kama wewe ni mtu mzima basi ujue kuna watoto humu jukwaani na kama wewe ni mtoto ujue kuna hadi babu na bibi zako humu jukwaanip hivyo usilete upuuzi wako sawa??????
Mi sijawahi
πππππππππππππ Heaven on earth sema tuu usiogope grafani11 au figganigga au Vin Diesel hatakuacha