Je, ni kweli Israel ilipiga na kuteka mataifa ya Kiarabu kwa siku sita? Sasa inashindwa nini kuwamaliza kikundi kidogo cha Hamas?

Hizo story za Hollywood hamna kitu zamani media zote zilikuwa zao propaganda zote walikuwa wanawalisha matango pori wajinga wengi, ndiyo maana unaona Al Jazeera wanaonyesha udhaifu wao wanawashambulia waandishi wao wa habari.
Kwa siku 3 Hadi 5 Israel imeua viongozi wote wa Hezbollah imemuacha Nashrallah tu.

Kadri Organization inazokuwa kubwa ndivo inakuwa vulnerable.

Lebanon ni Nchi Complex, ni Nchi ambayo imegawanyika kwa Msingi ya Dini na kwa pamoja wameamua Jeshi la nchi liwe hoehae kama mgambo, badala kila Dini/Dhehebu litajilinda kwa namna linajua, na Ndio maana imekuwa Rahisi Israel kuua viongozi wa Hezbollah sababu Wana taarifa nyingi wanazaopewa

Wakati nyie huku Bongo mnaichukia Israel.

Wasunni wa Lebanon na Syria pamoja na Wakristo wanasherekea kichapo wanachopata Hezbollah.

View: https://x.com/MOSSADil/status/1839018363042873631
Ukitoa Hamasa ambaye ni Kibaraka wa Iran hakuna Kundi au Waislam wa Kisunni nje ya Israel waliorusha hata jiwe, tafakari
 
Kama nchi ipi kwa mfano wakati mataifa yote ya kisunni yanaongozwa na vibaraka wa marekani
 
Hizo story za Hollywood hamna kitu zamani media zote zilikuwa zao propaganda zote walikuwa wanawalisha matango pori wajinga wengi, ndiyo maana unaona Al Jazeera wanaonyesha udhaifu wao wanawashambulia waandishi wao wa habari.
So hiyo Vita ni uzushi? Kama ni uzushi, ukweli ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…