Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.

Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu.

KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.

Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.

Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.

Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.

Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.

Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.

Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.

Tumeona mamlaka ya uteuzi ikitengua ba kutengua wahusika wa hili sakata kwa wiki iliyopita na hata wiki hii pia utenguzi na uteuzi umeendelea.

My Take:
January na Maharage wote ni wahusika wakuu wa hili sakata. Inakuwaje January amepewa dhamana wizara nyeti ya Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa. Wakati Maharage akiishia kuwa Posta Masta?

Hivi kweli nchi hii haina watu wenye Haiba, Elimu na Usafi wa kuweza kutuwakilisha kimataifa zaidi ya huyu aliyekwisha chafuka kila pembe aliyowahi kuhudumu?

Je, ina maana mamlaka husika zimevaa miwani ya mbao na kutoyaona matendo ya huyu mtu?

Nchi za wenzetu wako makini sana.pale waziri yeyote kutoka nchi za kiafrika anapopewa jukumu kwenda kutuwakilidha kwao ughaibuni, cha kwanza huwa wanaomba na kupewa taarifa za wasifu wake pamoja na makand0kando yake, kupitia Kwa maafisa waambata balozini kwao waliopo huko anakotokea.

Ebu fikirieni wasifu wa Kipara unaopelekwa huko unakuwa na Taswira gani?

Muda utakuwa shahidi mwema kwetu.na utatundea haki huko tuendako.

Pia Soma:
Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu akawaambia wahame kutoka pale Ubungo, akawapa Full Ofisi pale Kimara. Kumbuka Rais alikuwa hajui undumilakuwili wa Maharage kwani Maharage kapelekwa TANESCO na Januari Makamba.

Makamba ndo alimpendekeza kwa Rais kwa kumpa sifa kedekede hata ambazo hana ili Rais amuone wa Maana. Kumbe nia ya Makamba ni kuweka mshikaji wake ili Madili yake yapite kirahisi tanesco, halafu wakamuomba Rais Samia Trilioni Shilingi zadi ya 11 kwamba wakiipata hiyo hela umeme utatengamaa, wakampa rais mpango kazi feki rais Samia akashitukia dili akakataa.

Baadaye Dili likatiki wakapewa Bilioni 500. katengeneza MDDU na Erolink. Sasa wakawa wanakatakata umeme ili Rais aone umuhimu wa kuwapa hela nyingi. Ukitaka kuwaona washirika wa Maharage, nenda Kimara TANESCO uliza Ofisi ya MDDU ipo wapi. Wanatengewa hela nyingi na kupewa majukumu yasiyo kuwepo then hela wanagana. Maharage hata ahamishiwe Nangurukuru bado kuna 10% yake ya fedha za miradi. Lazima wampe. Si kawapa ulaji na hela zao bodi ilipolitisha? Hivyo kila mwezi zinaingia.

Rais angebomoa cheni yote ya Nishati kianzia katibu Mkuu wao ili wapoteane. Pia wale wote waliopelekwa Tanesco na Maharage, aondoke nao, hivyo basi, kama kweli Maharage anahusika na wizi ndani ya TANESCO kwa kupitia hii Unit ya MDDU, basi naomba Rais amstaafishe kwa manufaa ya Umma.

TAKUKURU iingilie kati kwani si vibaya kumchunguza kiongozi. Wakikuta ana makosa awajibike kwa matumizi mabaya ya Ofisi, kama tunavyojua, Posta sasa hivi inashirikiana na Mwarabu wa Dubai, kapelekwa apige hela ya Mwarabu. Huwa haachi dili lolote. Sasa hivi Posta inauzwa Mazima.
Una via viashiria vya tabia za kimasikini. Mwenyewe MunguMtu wenu wa Chato alikuwa akikuiteni wanyonge
 
Ila hiz fedha zinapelekwa kwenye bank zipi za Happ ndani au nnje je uataribu kukoje kutoa pesa nnje ya nchi
 
Ramli chonganishi kazini.
 
Madai ya mgao wa umeme wa "kutengeneza" kwa kufungulia maji Bwawa la Mtera. Kuna yeyote ameshtakiwa
 
Tetesi za tuhuma kwa JYM zimekuwa nyingi sana. Lakini kwa kadiri zinavyozidi, yeye ndivyo anazidi kuaminika na kupewa dhamana ya kuongoza wizara nyeti.

Kabla ya kuhitimisha na kuzidi kumpachika majina mabaya, ni vyema sote tukatambue kuwa mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe mengi. Pengine Vita dhidi yake hutokana na mahasimu wake wa kisiasa waliopo ndani na nje ya chama chake.

Kumbukumbu zinatupa picha ya kwamba, mwaka 2015 aliingia katika hatua ya tano bora katika kinyang'anyiro kigumu cha kumtafuta mpeperusha bendera wa nafasi ya urais kupitia chama chake. Ijapokuwa alikuwa mgombea kijana kwa wakati huo, lakini bado aliweza kuonyesha ushindani wenye kishindo kikubwa ndani yake.

Mimi nafikiria pengine kumbukumbu hii ni mbaya kwa mahasimu wake wa kisiasa. Wanaona kuwa anabebwa na historia, na pia kupitia ukaribu wake na watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake. Kitu kimoja ambacho watu wengi wanakisahau ni kuwa, JYM aliwahi kuhudumu chini ya Rais SSH, pale alipokuwa Makamu wa Rais.

Rais alipata kuufahamu vyema ubunifu na utendaji wake kwa ukaribu mno. Na hata alipoondolewa na JPM katika nafasi ile, nafikiri alisononeka ijapokuwa hakuwa na jinsi ya kufanya kwa wakati huo. Ni vyema JYM akapewa maua yake anayostahili, lakini pale akiboronga azodolewe pia.
 
Nataman hata huyo mama Abduli angekuwa anasoma huku Jf kungemsaidia angeachana na mipasho
 
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.

Wakati hali ikiwa hivi ilivyo. Kuna tetesi hizi hapa ya kwamba, nanukuu.

KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.

Hoja yao; Maji yangelijaa sana na yangelipasua bwawa la Mtera. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera wakapinga jambo hilo kitaalam.

Wataalam na wahandisi kutoka Mtera wakawaleza hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.

Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika irrigation, human consumption, industrial use, aquaculture, na navigability.

Lakini kwa mamlaka yao, KIPARA na Maharage wakaagiza kwa lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera. Maji yakafunguliwa.

Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea. Sasa nchi yetu inapitia mgao mkali wa umeme kwa sababu ya wahuni.

Septemba 2023 mgao umekuwa mkali na wanaohusika na umeme wanajitetea kwamba kuna upungufu wa uzalishaji umeme kwenye mabwawa kutokana na ukame.

Tumeona mamlaka ya uteuzi ikitengua ba kutengua wahusika wa hili sakata kwa wiki iliyopita na hata wiki hii pia utenguzi na uteuzi umeendelea.

My Take:
January na Maharage wote ni wahusika wakuu wa hili sakata. Inakuwaje January amepewa dhamana wizara nyeti ya Mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa. Wakati Maharage akiishia kuwa Posta Masta?

Hivi kweli nchi hii haina watu wenye Haiba, Elimu na Usafi wa kuweza kutuwakilisha kimataifa zaidi ya huyu aliyekwisha chafuka kila pembe aliyowahi kuhudumu?

Je, ina maana mamlaka husika zimevaa miwani ya mbao na kutoyaona matendo ya huyu mtu?

Nchi za wenzetu wako makini sana.pale waziri yeyote kutoka nchi za kiafrika anapopewa jukumu kwenda kutuwakilidha kwao ughaibuni, cha kwanza huwa wanaomba na kupewa taarifa za wasifu wake pamoja na makand0kando yake, kupitia Kwa maafisa waambata balozini kwao waliopo huko anakotokea.

Ebu fikirieni wasifu wa Kipara unaopelekwa huko unakuwa na Taswira gani?

Muda utakuwa shahidi mwema kwetu.na utatundea haki huko tuendako.

Pia Soma:
Pale TANESCO kuna tatizo, wafanyakazi wameshajikatia tamaa sababu wanaona Ofisi ya Umma imekuwa Ofisi ya Upigaji kwa Viongozi wa juu. Maharage alipo pelekwa pale TANESCO, alianzisha mfumo wake wa kupiga hela, akaanzisha Managing Director delivery unit - MDDU. Akaweka watu wake, halafu akawaambia wahame kutoka pale Ubungo, akawapa Full Ofisi pale Kimara. Kumbuka Rais alikuwa hajui undumilakuwili wa Maharage kwani Maharage kapelekwa TANESCO na Januari Makamba.

Makamba ndo alimpendekeza kwa Rais kwa kumpa sifa kedekede hata ambazo hana ili Rais amuone wa Maana. Kumbe nia ya Makamba ni kuweka mshikaji wake ili Madili yake yapite kirahisi tanesco, halafu wakamuomba Rais Samia Trilioni Shilingi zadi ya 11 kwamba wakiipata hiyo hela umeme utatengamaa, wakampa rais mpango kazi feki rais Samia akashitukia dili akakataa.

Baadaye Dili likatiki wakapewa Bilioni 500. katengeneza MDDU na Erolink. Sasa wakawa wanakatakata umeme ili Rais aone umuhimu wa kuwapa hela nyingi. Ukitaka kuwaona washirika wa Maharage, nenda Kimara TANESCO uliza Ofisi ya MDDU ipo wapi. Wanatengewa hela nyingi na kupewa majukumu yasiyo kuwepo then hela wanagana. Maharage hata ahamishiwe Nangurukuru bado kuna 10% yake ya fedha za miradi. Lazima wampe. Si kawapa ulaji na hela zao bodi ilipolitisha? Hivyo kila mwezi zinaingia.

Rais angebomoa cheni yote ya Nishati kianzia katibu Mkuu wao ili wapoteane. Pia wale wote waliopelekwa Tanesco na Maharage, aondoke nao, hivyo basi, kama kweli Maharage anahusika na wizi ndani ya TANESCO kwa kupitia hii Unit ya MDDU, basi naomba Rais amstaafishe kwa manufaa ya Umma.

TAKUKURU iingilie kati kwani si vibaya kumchunguza kiongozi. Wakikuta ana makosa awajibike kwa matumizi mabaya ya Ofisi, kama tunavyojua, Posta sasa hivi inashirikiana na Mwarabu wa Dubai, kapelekwa apige hela ya Mwarabu. Huwa haachi dili lolote. Sasa hivi Posta inauzwa Mazima.
Unaujua mchango wa January Makamba ndani ya CCM?, anayo mizizi ndani ya chama sio rahisi kwa serikali yenye ushawishi wa JK ikakosekana nafasi kwa Makamba.

Maharage Chande ni mtoto wa Maharage Juma, mpigania uhuru wa nchi hii pamoja na kina Sykes na wazaramo wengine wa Kariakoo miaka ile ya 1950 na 60.
 
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.
Biteko kuamuru maji ya Nyerere dam kumwagwa ni ufisadi pia au Ni mpaka January akimwaga ndio inakua hujuma/ufisadi?
 
Nafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
 
Back
Top Bottom