FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama ni kweli, wanastahiki adhabu kali!Lisemwalo lipo kama halipo laja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni kweli, wanastahiki adhabu kali!Lisemwalo lipo kama halipo laja
Utahamia Burundi au😂😂😂Ukisikia Tanzania kupatwa ndiyo huko huyo jamaa akiwa rais wa nchi hii nahama kabisa
Hakuja wahi kuwa na ukame wa kukausha mabwana Tanzania ila ni uhuni mkongweMwakaa huu nyanda za juu kusin kulikuwa na mvua za kutksha saaana ndo mana mpunga ulikubali ,mahind yalikubali, na mikoa yote ilipata mvua na kulikuwa mavuno mazur na wat wamejivunia kuwa wakulima na maji yalikuwa mengi saaan hivyo mqji hayo ndo yanayo jaza mto ruaha.
Sasa kama mvua zilikuwa nyingi maji lienda wapi na mwaka huu zilikuwa nyingi
Ukweli ni kuwa maji yalifunguliwa ilanushahid ndo huwez kuupata.
mnataka mpasuaneNchi hii bila kulipuana hatutaheshimiana.
Inafikirisha sana.Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu "Alisema Rais Samia".
JF imekua kichaka cha propaganda, ni kweli January na Maharagande wame under perform but why mnalazimisha ni Wahujumu Uchumi?KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje
Bumbuli mchezo?Lakini mbona Kipara analindwa!!??
Sasa kama gesi ni70 iyo gesi imeisha uko auJF imekua kichaka cha propaganda, ni kweli January na Maharagande wame under perform but why mnalazimisha ni Wahujumu Uchumi?
Mfano umeme wa gesi ni 70% why January na Maharagande wasihujumu mabomba ya gesi au vituko vya kuchakata umeme wa gesi waje kuhujumu Bwawa linalochangia a mere 10% ya umeme wote Tanzania?
Na ndio maana huwa napinga mgao ni sababu ya Maji, Rais mwenyewe kakiri kuwa mgao ni sababu VIFAA vimechoka!!Sasa kama gesi ni70 iyo gesi imeisha uko au
Ukisikia Tanzania kupatwa ndiyo huko huyo jamaa akiwa rais wa nchi hii nahama kabisa
Wahusika wakamtwe leo na kufunguliwa mashitaka ya kuhujumu uchumi nakufungwa maisha leoleo.Salaam wapendwa,
Nadhani wote tunaumia kwa kukosa Mwanga ambao ni hitaji letu la msingi la kila siku.
Sasa unataka kujua sababu?. Hii ndiyo sababu;
Mwezi Machi 2023, Mh. Waziri wa Nishati January Makamba akishirikiana na Mkurugenzi wa TANESCO Ndugu Maharage Chande waliamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi) yafunguliwe na kumwagika nje.
Hoja yao ni kwamba maji yangelijaa sana na hivyo Bwawa la Mtera lingepasuka na kuleta adhari kubwa sana. Wahandisi na wataalam kutoka katika bwawa la Mtera walipinga jambo hilo kitaalam.
Wakaeleza kuwa hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam hutumika kwa shughuli nyingi siyo Hydropower tu.
Hifadhi ya maji (reservoirs) kwenye Rock-fill dam (kama Mtera) hutumika hata katika kilimo cha Umwagiliaji, matumizi ya binadamu, usafirishaji wa majini n.k.
Mh. January Makamba kwa kushirikiana na Maharage Chande waliagiza kuwa ni lazima maji yafunguliwe katika bwawa la Mtera.
Kutokana na nguvu ya Wanasiasa siasa ikafuata mkondo na taaluma ikawekwa pembeni, maji yakafunguliwa.
Maji hayakujaa tena katika bwawa la Mtera, kwa sababu mvua zilipotea.
Sasa nchi yetu inapitia kwenye changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma hiyo ya umeme.
Sababu zinazo tolewa sasa;
1. Kuna Matengenezo ya Mitambo.
2. Ukame
Lakini hili la Mh. January na Maharage halizungumzwi.
Kwa hili Mh Raisi amezidiwa Maarifa na Mh. January Makamba.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nimeshagundua ili Tanzania iwe na mabadiliko tunatakiwa tubadilishe mfumo wa uongozi.MTALIA KILA KILIO.
TATIZO KUBWA LA HI NCHI NI CCM.
CCM IMEJAWA NA VIONGOZI ,
Wezi.
Wapumbafu.
Wajinga.
Mazwazwa.
Ma lofa.
Mafisadi.
WASIO na akili.
WASIO na Maono.
VICHAA nk.
HAIWEZEKANI DUNIA YA LEO KUTEGEMEA UMEME WA MAJI.