Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

Una via viashiria vya tabia za kimasikini. Mwenyewe MunguMtu wenu wa Chato alikuwa akikuiteni wanyonge
 
Ila hiz fedha zinapelekwa kwenye bank zipi za Happ ndani au nnje je uataribu kukoje kutoa pesa nnje ya nchi
 
Ramli chonganishi kazini.
 
Madai ya mgao wa umeme wa "kutengeneza" kwa kufungulia maji Bwawa la Mtera. Kuna yeyote ameshtakiwa
 
Tetesi za tuhuma kwa JYM zimekuwa nyingi sana. Lakini kwa kadiri zinavyozidi, yeye ndivyo anazidi kuaminika na kupewa dhamana ya kuongoza wizara nyeti.

Kabla ya kuhitimisha na kuzidi kumpachika majina mabaya, ni vyema sote tukatambue kuwa mti wenye matunda ndiyo hutupiwa mawe mengi. Pengine Vita dhidi yake hutokana na mahasimu wake wa kisiasa waliopo ndani na nje ya chama chake.

Kumbukumbu zinatupa picha ya kwamba, mwaka 2015 aliingia katika hatua ya tano bora katika kinyang'anyiro kigumu cha kumtafuta mpeperusha bendera wa nafasi ya urais kupitia chama chake. Ijapokuwa alikuwa mgombea kijana kwa wakati huo, lakini bado aliweza kuonyesha ushindani wenye kishindo kikubwa ndani yake.

Mimi nafikiria pengine kumbukumbu hii ni mbaya kwa mahasimu wake wa kisiasa. Wanaona kuwa anabebwa na historia, na pia kupitia ukaribu wake na watu wenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake. Kitu kimoja ambacho watu wengi wanakisahau ni kuwa, JYM aliwahi kuhudumu chini ya Rais SSH, pale alipokuwa Makamu wa Rais.

Rais alipata kuufahamu vyema ubunifu na utendaji wake kwa ukaribu mno. Na hata alipoondolewa na JPM katika nafasi ile, nafikiri alisononeka ijapokuwa hakuwa na jinsi ya kufanya kwa wakati huo. Ni vyema JYM akapewa maua yake anayostahili, lakini pale akiboronga azodolewe pia.
 
Nataman hata huyo mama Abduli angekuwa anasoma huku Jf kungemsaidia angeachana na mipasho
 
Unaujua mchango wa January Makamba ndani ya CCM?, anayo mizizi ndani ya chama sio rahisi kwa serikali yenye ushawishi wa JK ikakosekana nafasi kwa Makamba.

Maharage Chande ni mtoto wa Maharage Juma, mpigania uhuru wa nchi hii pamoja na kina Sykes na wazaramo wengine wa Kariakoo miaka ile ya 1950 na 60.
 
KIPARA na Maharage mwezi Machi 2023, waliagiza na kuamuru maji katika bwawa la Mtera (Catchment area; 68,000 km² (26,000 sq mi)) yafunguliwe na kumwagika nje.
Biteko kuamuru maji ya Nyerere dam kumwagwa ni ufisadi pia au Ni mpaka January akimwaga ndio inakua hujuma/ufisadi?
 
Biteko kuamuru maji ya Nyerere dam kumwagwa ni ufisadi pia au Ni mpaka January akimwaga ndio inakua hujuma/ufisadi?
Nafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…