zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Na huu ndio unafiki wenyewe, imagine January angezima mtambo alafu wiki mbili baadae afungulie maji kisa yamejaa mno!! Kama naona ambavyo mngetaka anyongwe hadharani!Nafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
Wataalam wameshauri hivyo? au ni yeye kaforce kama Makamba walivyolaazimishaUna maoni gani kwa sasa? Je Biteko naye ni fisadi kwa kufungulia maji ya Nyerere Dam?
Kwani wakati January na Chande wakisema maji yapunguzwe mitambo yote ilikuwa imewashwa??? Mlimwonea January sana na kutaka kumchafua kisiasa kwa maswala haya na mengine... Sasa zigo Hilo hapo akawaachia, pambaneni naloNafikilia kuwa hii ya Nyerere na kule Mtera ni tofauti, pale Nyerere mradi bado mbichi as kuwashwa mitambo yote, laiti ingekuwa on alafu tukasikia kuzimwa na kumwagwa maji lazima swali lako lingekuwa mujarabu.
Makamba aliforce wapi? Kwamba wataalamu washauri ufungulie maji ili yakalete mafuriko kwa wanakijiji? Hivi angefanya Makamba mngeelewa kweli?Wataalam wameshauri hivyo? au ni yeye kaforce kama Makamba walivyolaazimisha
Wataalam walishauri maji yasifunguliwe, Makamba akafosi ikaleta mgao.Makamba aliforce wapi? Kwamba wataalamu washauri ufungulie maji ili yakalete mafuriko kwa wanakijiji? Hivi angefanya Makamba mngeelewa kweli?
Acheni chuki kwenye makosa tuseme ni makosa, akifanya Biteko mnasema wataalam wameshauri akifanya makamba mnasema anahujumu!!
Vipi Nyerere dam wataalam walisemaje? Haijaleta madhara?Wataalam walishauri maji yasifunguliwe, Makamba akafosi ikaleta mgao.
Madhara ya Bwawa kuvunjika na madhara ya mashamba kufurika, ungekuwa wewe mtaalam ungechagua kipi? Case ya makamba hapakuwa na uwezekano wa bwawa kuvunjika kwa mujibu wa wataalamVipi Nyerere dam wataalam walisemaje? Haijaleta madhara?
Acha uongo, mara kibao tu bwawa la mtera lilifunguliwa maji tena ilikua kipindi cha JPM wenu.hapakuwa na uwezekano wa bwawa kuvunjika
Kipindi anafumgulia para hayakuwa yamefika kiwango cha kuhitaji kufunguliwa, hapo yalifikia kiwango.Acha uongo, mara kibao tu bwawa la mtera lilifunguliwa maji tena ilikua kipindi cha JPM wenu.
View: https://youtu.be/OWUndqR8rFI?si=U-6Z94lhIc8gM-G3
Hapa vipi? Wataalam walisemaje mbona walifungulia maji? JPM hakujua kwamba mtera haiwezi vunjika?