Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

benybeny

Senior Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
105
Reaction score
177
Habari wakuu
Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba .
Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
 
Si mtaalamu sana lakini ninamashaka na usemi wako!, kwasababu Italy ni wanywaji sana wa kahawa tena ile strong namaanisha espresso!, achana na hizi za bongo mnachemsha wee!.
sasa unakuta asubuhi kabla ya breakfast kanywa single au double espresso!, akimaliza pia breakfast anakunywa tena na hivyohivyo kwenye lunch na dinner.. haiishi hapo akiwa amekaa katulia anaweza kunywa americano coffee au cappuccino au iced coffee ama irish coffee au latte machiato!.
hizo zote nilizo orodhesha hapo unatengeneza kutumia espresso na espresso si haba!..
so kwa utumiaji huu nafikiri wao ndo wangekuwa wanaongoza kwa kuumwa hiyo tezi dume na hapo pia kuna cocktail inaitwa espresso martini nayo inatumia coffee!..😅
 
Back
Top Bottom