Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
hahahaha mie mpk aanze kuomba mchango ndio nitajua hii habari ina ukweli, kinyume naungana na wewetatizo washazoea maisha ya maigizo usikute hapo linaandaliwa tangazo la kitu flani kwahiyo hata kama ni kweli itatuchukua muda sisi kama wanabodi kumuamini
sawa sawahahahaha mie mpk aanze kuomba mchango ndio nitajua hii habari ina ukweli, kinyume naungana na wewe
Mtihan sana huko tuendako mtu waweza kufa watu wanakuangaliatatizo washazoea maisha ya maigizo usikute hapo linaandaliwa tangazo la kitu flani kwahiyo hata kama ni kweli itatuchukua muda sisi kama wanabodi kumuamini
Mtihan Kwa kwelhahahaha mie mpk aanze kuomba mchango ndio nitajua hii habari ina ukweli, kinyume naungana na wewe
Pole sana kaka, ni content creator mkubwa sana bongo, ukiingia insta ukaandika kiredio utaona kaz zakeHuyo Kiredio ndio nani?
Naona umeandika huu uzi kama vile wote humu tunamjua!
Kiredio ndio nani?Video inayo sambaza MTANDAONI ina muonesha kiredio akibebwa kukalishwa Kwa wheel chair, tetesi ni kuwa kapalalaizi, sijui ni kiki sijui kweli ila wanadai kweli mana alialikwa juzi Kwa mondi hakwenda.
Inasemekana chanzoni either demu kumuacha au either alitapeliwa 60 millions china,
Tusbiri habari kamili
Mbona inasemekana katapeliwa milioni 60 chinaMapenzi yanaRun dunia.! Hata hujui maumivu yanatokea wapi, ila unajihisi unaumwa tu.
Hata kama ikitokea ni 'Igizo' ila kutengana na yule manzi imemuathiri pakubwa.
Na katika mapenzi 'moments' ndo huwa zinaumiza sana.
Sio wakuamini sanaKiki tu hizo