Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

Je Ni kweli kiredio ka palalaizi miguu, hawezi tembea mpaka abebwe, je chanzo ni yule demu kumuacha au?

Huyo msanii tu ila Mungu hataniwi kujifanya umepooza angetqfuta content nyingine ila sio kujipooza
 
Mnapoteza Muda Kufuatilia watu wajinga wajinga na wapumbavu kama Kiredio.

Jipe muda wa Kusoma Uongeze Maarifa Achana na Upumbavu wa akina Kiredio

Hapa JF Ni home of Great Thinkers
Sio uwanja wa wapumbavu.
 
Back
Top Bottom