Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
583
Reaction score
590
Nimeona huu mjadala
Mahala. Kama KKKT wanatakatisha fedha ni vema serikali iwachunguze Maana hawalipi kodi hawa.

Pia hawa wasamaria wanaoleta hizi taarifa inabidi serikali iwalinde wasije wakadhurika

 

Attachments

  • IMG_9853.jpeg
    601.9 KB · Views: 4
Wivu tu unawasumbua.
Wapi sadaka zikitolewa haziliwi na viongozi wa taasisi hiyo?. .

Ukisikia mtu anamtolea Mungu sadaka unadhani hiyo sadaka italiwa na Mungu au binadamu?..

Mimi siyo muumini wa KKKT lakini ninachoona kinachowaumiza ni siasa za maji taka mnazotaka kuzihusisha na KKKT.

Kama hoja ni ulafi wa madaraka au fedha hilo ni tatizo la kiongozi binafsi na siyo la taasisi.
 
KKKT tangu zamani ni mabepari na sehemu ilipojikita mizizi huwa kuna maendeleo tofauti ba RC wajamaa.

Mahubiri ya KKKT yanewajenga sana kuwa na moyo wa kujitolea,RC miaka mingi walitegemea misaada toka ulaya

Sasa misaada ulaya imepungua wanashangaa spirit ya utoaji wa KKKT
 
Nimechaka Sana Mkuu
Wao Wanajua Sadaka Wakitoa Mungu Ndiyo Huchukua
Umesema Vema Sadaka Hutumiwa Na Binadamu
 
Mitano tena
 
Hayo yanayoitwa makanisa na misikiti kwa muda mrefu yamekuwa yakitumika kama sehemu za kutakatishia fedha, hawalipi kodi yoyote na wanakusanya maburungutu ya kutosha ya wanasiasa na kuyasafisha kwa damu ya yesu au mafuta ya sunna. Wajinga ndio waliwao
 
Kkkt from the start unaona kabisa alina tofauti na wakina mwamposa . Sadaka unasomesha na kulisha wake na watoto wa askofu . Marekani na ulaya
Hiyo ni moja ya sababu ya mababa wa Kanisa Katoliki kuamua kupiga marufuku mapadri kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…