Je, ni kweli KKKT Wanafanya money laundering?

Watu wakimtolea Mungu wewe inakuuma nini?

Si na nyie mtoe.
 
Hawa si ndio wamesema MAZA MI5 TENA au?
 
nimefuatilia huu mjadala kwenye twitter. Huyo dada aliongea hivo kashushuliwa kweli mpaka kafuta tweet. Hizi ni hujma za roman catholic. Kanisa kkkt ni watoaji mno, shetani yuko kazini kuua spirit ya utoaji kwa waumini. Sio rahisi kutoa fedha account ya kanisa bila wazee wa kanisa wote kujua.
 
Sasa mkuu mbona unaongelea yaliyopita? Ni miaka mingapi sasa hivi RC hawapati tena direct support kutoka Vatican? Huwezi kuwalinganisha KKKT na RC kwa sasa!
 
Kasi ya ukuwaji ya KKKT inaitisha RC hilo tunalielewa.

Tena tuna vuna waumini toka RC.

Mungu ni mwema.
Uongo wa mchana kweupe! Mkatoliki gani atakatoka RC aende KKKT?
 
Most Churches, Mosques and the likes do it.... hata Vatican ilitumika kusafisha pesa za NAZIS kipindi cha vita vya dunia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…