sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wengi (sio wote)
Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri, utahehimiwa utu wako n.k.
Ila sasa ukiwa mvivu, inachelewa kazini, kutoka toka muda wa kazi, kunaongea sana kuliko kazi, n.k hawapindishi wanakupa ukweli usoni.
Je, haya ni ya kweli au ni stori za kuchangamsha genge?