Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

Ukikaa na mzungu na ukiwa mchapakazi una nafasi kubwa sana ya kupata mafanikio
Mzungu kukuachia chimbo baada ya mradi wake kuisha ni dk sifuri kama wewe ndio ulikuwa msimamizi wake [emoji3] mchina atauza hadi magodoro mliokuwa mnalalia [emoji3]

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hawa mabeberu wapo vizur sana kwenye kazi zao mishahara mizuri na wanajali muda sana,sio kama hawa makanjibai full kunyanyasa wafanyakazi Africa,kazi kibao mishahara midogo,pamoja na ndugu zao waarabu koko noma ndio hawajali muda kabisa utafanyishwa kazi mpaka ujute huo mshahara sasa,,,!
 
Wazungu wako poa
Waarabu wako poa

Kati ya hawa, ni heri kufanya kazi kwenye makampuni ya waarabu, wana utu, wana huruma, wana hofu ya Mungu. So, waarabu kwangu ni number 1 then mzungu.

Wasiowapenda waarabu, hii comment itawaumiza sana, but no way, be patients!

Bhujiku ng'waka wananzengo[emoji1309]

Itakua muarabu koko wewe sio bure lazima uwatetee ndugu zako eti waarabu wanautu,huruma [emoji1787][emoji38]hawa hawa au wengine ??? Msimsikilize huyu mtaenda kulia huko,,,Kwanza kwa ubaguzi namba moja eti ndio wana hofu ya mungu hahha
 
Ukikaa na mzungu na ukiwa mchapakazi una nafasi kubwa sana ya kupata mafanikio
Mzungu kukuachia chimbo baada ya mradi wake kuisha ni dk sifuri kama wewe ndio ulikuwa msimamizi wake [emoji3] mchina atauza hadi magodoro mliokuwa mnalalia [emoji3]
Wachina masikini sana

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Hao waarabu hapana aisee, hizi scania nyingi zinazoenda congo, zambia, kenya, n.k za waarabu, Madereva wengi sana wanalalamika kunyanyaswa, hata mikataba tu hakuna, madereva wanaumizwa sana yani + kudhalilishwa...
Ninakubaliana na wewe.
Kuna kiwanda cha kutengeneza transformer huko Arusha, kilianzishwa na wazungu kikawa kinafanya vizuri sana na kuwajali mno wafanyakazi wake.
Sasa hivi wazungu wameondoka anakisimamia mwarabu mmoja toka Kenya...hali imekuwa mbaya sana, wafanyakazi wengi wamekimbia kwa sababu ya uongozi mbovu na maslahi duni, waliobaki ni kilio.
 
Mzungu yuko straight sana hana kupindishapindisha. Ukionyesha siyo mwaminifu umempoteza daima. Wenge la shetani tu liliwapitia, wakatufanya watumwa 🤣😂🤣
 
Wazungu wapo makini sana kwenye terms mtakazokubaliana. kama ni salary tarehe 28 basi hata kama zitazidi siku mbili mbele wiki moja kabla watakutaarifu kukuombamsamaha kua salary itachelewa kwa siku mbili na watakuhakikishia kua haitajirudia tena. Wanajali sana afya na maslahi ya mfanyakazi mtakayokua mmekubaliana watatimiza. Ila kwa upande wako mwajiliwa na wewe inatakiwa utimize wajibu wako hasa kutokana na mkataba unavyokutaka. Kuhusu vyeti hilo hawajali mzungu anakupima skills na experience zako anakupa kazi wala hata kuomba cheti hata siku moja. Utapanda cheokulingana na performance yako ya kazi hata ulete vyeti vya PhD kama wewe una underperform utasimamiwa hata na mtu mwenye diploma na utakua chini yake
 
Nmefanya nao kaz miaka miwili sahz namilik ghorofa bunju na pia natembelea nissan patrol new model kikubwa hakikisha unapga kazi.
Hawanaga longo longo kwenye maslahi ya wachapa kazi.
Mbinde ufanye kazi kwa ngozi nyeusi, muhindi au mwarabu🤣🤣🤣🤣

Na mungu aliona mbele akawapa wao utawala wa dunia.
 
Mungu aliwabariki sana waarabu, wana mishahara mizuri japo sio wote. Suala la utu kwakweli waarabu ni number 1 in ze weldi, wana huruma, hawapendi dhuluma, in short wanahofu na Mungu
Ukimuona mwafrika anayanya kazi kwa mwarabu na ametoboa ujue ana uchawi kuwazidi wao na amewashika hawageuki. Vinginevyo kufanya kazi na hawa watu ni umaskini wa hali ya juu sana. Wafanyakazi wanapelekeshwa kama watumwa hakuna mikataba ya kazi inayoeleweka hawajali kabisa maslahi ya mfanyakazi pale mfanyakazi unaonekana kama mtumwa
 
Wazungu wako poa
Waarabu wako poa

Kati ya hawa, ni heri kufanya kazi kwenye makampuni ya waarabu, wana utu, wana huruma, wana hofu ya Mungu. So, waarabu kwangu ni number 1 then mzungu.

Wasiowapenda waarabu, hii comment itawaumiza sana, but no way, be patients!

Bhujiku ng'waka wananzengo👋🏻
Wewe ni mwarabu koko unajitetea.
 
Ukimuona mwafrika anayanya kazi kwa mwarabu na ametoboa ujue ana uchawi kuwazidi wao na amewashika hawageuki. Vinginevyo kufanya kazi na hawa watu ni umaskini wa hali ya juu sana. Wafanyakazi wanapelekeshwa kama watumwa hakuna mikataba ya kazi inayoeleweka hawajali kabisa maslahi ya mfanyakazi pale mfanyakazi unaonekana kama mtumwa

Umekaririshwa, pole sana
 
Hamna waliokamilika katika binaadamu wote wana kasoro tofauti, Mzungu kasoro yake mbaguzi sana.
 
Umekaririshwa, pole sana
Zaidi ya asilimia 97 fuatilia hata comment tu za humu utaona wangapi wanakubaliana na wewe. Huwezi linganisha wafanyakazi wa Bakheresa au Asas na wafanyakazi wa kwenye makampuni ya Wazungu kama Barrick nk. Kule unamkuta mpaka mlinzi tu ana mijumba kibao. Kuna watu wanatukanwa kwa siku matusi zaidi ya elf 10 tena ya nguoni. usiombe ufanye kazi kwa muarabu
 
Ninakubaliana na wewe.
Kuna kiwanda cha kutengeneza transformer huko Arusha, kilianzishwa na wazungu kikawa kinafanya vizuri sana na kuwajali mno wafanyakazi wake.
Sasa hivi wazungu wameondoka anakisimamia mwarabu mmoja toka Kenya...hali imekuwa mbaya sana, wafanyakazi wengi wamekimbia kwa sababu ya uongozi mbovu na maslahi duni, waliobaki ni kilio.
Nadhani ni Tanelec hao ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]acheni Mungu awabariki wazungu buana ,imagine hizi ngozi nyingine zenye roho za kutu wangekuwa wamebarikiwa kama Caucasians nadhani dunia isingekuwa mahala salama pa kuishi kabisa
 
Back
Top Bottom