sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
ila naskia hawa wenzetu hawana mchezo na muda,,, ikiwa 8:00am, ufike 8:02am umezingua tayariNi kweli kabisa
Kweli kabisa mara mia ufanya kazi chini ya mzungu lakini sio mblack mwenzio.Wengi (sio wote)
Kunakuwaga na zile stori kwamba ukifanya kazi kwa mzungu umelamba dume,,, kuanzia maslahi yaani Mshahara na posho utapata kwa wakati tena kwa kiwango kizuri,,, Utahehimiwa utu wako, n.k.
Je haya ni ya kweli au ni stori za kuchangamsha genge
ni kweliNimefanya nao kazi Barrick wapo very straight wanataka kazi zao ziende ndani ya muda.pia wanajali maslahi muhimu na afya ya mfanyakazi wake sio kama wahindi hawa jamaa salute sana.
Usiibe tu, utakaa nao vizuri sana hata nyumba watakujengea ukiwa mwaminifu Kwa muda mrefuWazungu wana utu kuliko wachina, wahindi na waarabu. Kufanya kazi kwa mzungu unaweza kuibuka na kampuni au kiwanda
Nenda kafanye kazi kwa Waarabu ndio utaweza kujua
Hao waarabu hapana aisee, hizi scania nyingi zinazoenda congo, zambia, kenya, n.k za waarabu, Madereva wengi sana wanalalamika kunyanyaswa, hata mikataba tu hakuna, madereva wanaumizwa sana yani + kudhalilishwa...Wazungu wako poa
Waarabu wako poa
Kati ya hawa, ni heri kufanya kazi kwenye makampuni ya waarabu, wana utu, wana huruma, wana hofu ya Mungu. So, waarabu kwangu ni number 1 then mzungu.
Wasiowapenda waarabu, hii comment itawaumiza sana, but no way, be patients!
Bhujiku ng'waka wananzengo👋🏻
Hao waarabu hapana aisee, hizi scania nyingi zinazoenda congo, zambia, kenya, n.k za waarabu, Madereva wengi sana wanalalamika kunyanyaswa, hata mikataba tu hakuna, madereva wanaumizwa sana yani + kudhalilishwa...