Je, ni kweli kufanya kazi kwa wazungu huwa kuna maslahi mazuri pamoja na kujaliwa utu au ni stori tu za vijiweni?

Nadhani ni Tanelec hao ,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]acheni Mungu awabariki wazungu buana ,imagine hizi ngozi nyingine zenye roho za kutu wangekuwa wamebarikiwa kama Caucasians nadhani dunia isingekuwa mahala salama pa kuishi kabisa
Ndio hapo u apojua kuwa Mungu fundi bwana. Alijua tuu wacha atawale mzungu. Hizi race zingine hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…