Je, ni kweli kuishi Dar es Salaam bila gari ni kujipunja na kuihujumu familia kimaisha?

Huwezi kufanya kilicho kupeleka kwa sababu mambo ni magumu.... Sioni faida ya kwenda jijini DSM wakati huna mwelekeo wa maisha...
Wengi wanaona ni rahisi kufanikiwa wakiwa jijini lakini pia kuna maeneo uchumi anaoutumia kwa siku mkazi wa DSM ambaye anajitafuta kule anakuwa Don.

Maisha ni imani, wenye imani ya kutobolea jijini waachwe ila wajue wanatkia wafaidi sio kuishi huku ukiacha 80% ya vitu vinavyoweza kukunufaisha kisa shida ya usafiri.
 
Kazi sio kupata gari,,,kazi ni kuwa na gari,,,kama vile ilivyo ngumu kupata nyumba na ilivyo rahisi kuwa na nyumba.....kwa kifupi ni kwamba unahitaji fedha kuendelea kuwa na gari ila ukishapata nyumba sio lazima kuwa na fedha ili uendelee kuwa na nyumba.......
 
. Wanaoenda kutoboa maisha dar ni wachache sana kati ya watu 1000 Wanaoenda dar, kumi na tano hawafiki ndo hutoboa maisha. ( na hao 15 kutoboa maisha umri ukiwa umeenda sana )

. Dhana ya kusema ukienda dar ndo utaboa maisha ni uongo, kwa sababu hela ni channel popote pale zipo. ( ikumbukwe kuwa kwenye wajinga wengi, hiyo ndo Sehemu sahihi ya kutoboa maisha)
 
Uko sahihi.
 
Umeandika ukweli mtupu.
 
Mbona mnaoenda visingizio? Mtaani kuna gari zinauzwa hadi 2m achana na za kuagiza.
Zinakuwa mbovu sana hizo, Hata Japan zipo za Milioni 2 bro ila sasa ikifika Bandarini kodi zake we unazijua
 
Wanaofaidika na jiji la DSM ni wachache sana.

Wengine wanaambulia kung'atwa na MBU tu, plus Kuishi kwa mlo mmoja kwa siku 🥴🥴
Huna logic. Kwani wanoishi mikoa tofauti hawapo wanaokula mlo mmoja
 
Hapo chanika sikuhizi pameshajaa tayari kama unataka kiwanja itakubidi uende HOMBOZA Huko... abiria wa Chaika wanaongoza Kwa kulala kwenye daladala kwasababu ya kuamka usiku wa manane kuwahi usafiri
 
Hapo chanika sikuhizi pameshajaa tayari kama unataka kiwanja itakubidi uende HOMBOZA Huko... abiria wa Chaika wanaongoza Kwa kulala kwenye daladala kwasababu ya kuamka usiku wa manane kuwahi usafiri
Homboza ni km ngapi kutoka chanika
 
Gari si basic need. Ukiliondoa binadamu ataendelea kuishi kama kawaida
Recently kuna aina fulani ya majukumu ukiwa nayo ni muhimu kuwa na gari
Food, shelter and clothes hizi zilikiwa basic need enzi tunapata uhuru. Kadili siku zinavyoenda na mtu anavyoweka vipaumbele basic need zinabadilika.
Kuna wengine Private Jet ni basic need kwao wakati wengine kumiliki baiskeli ni anasa.

Watu wapime, na wajiwekee basic needs zao.
 
Nazn kuishi bila gari kwa cc wa tz tusiokuw na ratba ya zoez ni more profitable than having a car
 

Popote pale kuwa na gari ni muhimu. Na maeneo mengine, hususan ya mjini ni necessity.
 
Unachanganya basic needs na vitu vingine. Mara ya kwanza natembelea US nilidhani nitakuta kila mtu ana gari, but no. Wengi hawana instead wana prefer publick transport

Basic needs ni zile need muhimu binadamu akikosa anafutika duniani. Gari si basic need
Ni additional need
Na itabaki kuwa hivyo, hao wenye ndege hizo ni need zao kutokana na aina ya life style waliyonayo na business wanazo run

No put in mind si kila mtu ana uwezo, lakini pia ingekuwa ni basic need wasiokuwa na gari wangeshakufa
Dunia ingebaki na wenye magari only
 
TRA waione hii msg pale bandarini na kwenye calculator yao😆😆
Kwenye calculator hapo ndio pa muhimu zaidi maana kodi ya gari moja ina magari mawili 🤣.
"Shenzi" in Leonardo's voice 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…