matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Wengi wanaona ni rahisi kufanikiwa wakiwa jijini lakini pia kuna maeneo uchumi anaoutumia kwa siku mkazi wa DSM ambaye anajitafuta kule anakuwa Don.Huwezi kufanya kilicho kupeleka kwa sababu mambo ni magumu.... Sioni faida ya kwenda jijini DSM wakati huna mwelekeo wa maisha...
Maisha ni imani, wenye imani ya kutobolea jijini waachwe ila wajue wanatkia wafaidi sio kuishi huku ukiacha 80% ya vitu vinavyoweza kukunufaisha kisa shida ya usafiri.