Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Majini Sio viumbe wa kawaida sasa huo utafiti ulifanyia wapi tueleze mkuuHabari zenu Wanajamiiforums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji k
Taja majina yako kamiri umri wako ragi ya nywele na rangi unao vutiwa nao sana , ni mtumie shkh majini pemba leo kabla asubuhi haijaingia utawapata hao wageni.........Habari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
Na je vipi malaika wapo?ushawai kuwaona? oxgen nayo vipi ushawai kuiona kwa macho na una amini ipo?Habari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
Habari zenu WanaJamiiForums?

Waulize wasio penda kitimoto.Habari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
We elewa nimefanya utafiti wa kutosha, Lakini sijawahi kuonana nao mpaka sasa. Au una muongozo wa kuweza kunisaidia ili nionane nao?Huo utafiti umefanya vipi? Na majaribio Gani umefanya!
Tuanzie hapo Mkuu!
Aaah wapi sidhani kama wapo, Maana nishafanya formula zote ila sijawahi kuonana au kuwahisi, Hizi zitakuwa ni hadithi tu za ABUNUWASI.Wapo sema walikugundua unataka kuwatumia vibaya mkuu tafuta hela majini watakuja wenyewe!
Nataka niwaite hapa nilipo.Nenda kisiwa cha tumbatu
Waulize Wenyewe wanao wafagilia katika maombi wanayo yafanya ili wasaidiwe na hao Majini.
Watakupa jibu.
Kweli Mkuu, Maana formula zote nilifanya lakini sikuwahi kuwahisi wala kuwaona . Hizi ni story za kusadikika kama zingine.Hakuna kitu kama hicho. Ni dhana ya kiarabu ya kuwatisha watu au kutumika kupigia fedha za mazwazwa wanaoamini ujinga huu. Majini, pepo, na roho mtakatifu ni dhana mfu na za kufikirika zisizoingia akilini kwa watu wenye vichwa vinavyochemka. Ukitaka kujua kuwa hivi vitu ni feki, vya kubuni, na havipo, waambie wanaodai vipo wavilete lau kimoja tuvione au kuvihisi.
Nimekwambia waulize wenyewe.Huenda zile ni story tu za kiarabu.
Nimefanya utafiti wa takribani miaka minne lakini sijawahi kuwahisi wala kuwasikia.