Je, ni kweli kuna majini?

Je, ni kweli kuna majini?

Sidhani, Maana nimejaribu sana kuwafatilia ila sijaona chochote.
Kama awajakutaka huwezi kuwaona...ila amini wapo na baadhi ya vitu vinafanyika sio kwa uwezo wetu binaadam wanashirikiana nao sana katika kufanya Dunia iwe hivi unavyo iona...!

Madaraja makubwa...
Jinsi simu inavyo fanya kazi...!
Technology kubwa kubwa zote zinatokana na hao viumbe...! Endelea kuwafuatilia IPO siku utaliona moja​
 
Kwa uwezo wangu wa kuwafatilia nimefikia hapa.
Labda aje mwingine atoe muongozo .
 
Tafuta kioo chakujiangalia weka mbele yako, hakikisha chumba chambo hakina mwanga, kisha chukua mishumaa miwili. Mmoja weka kushoto na mwingine weka kulia kwako na kioo kikae kakikati ya hiyo mishumaa miwili. Washa mishumaa yako na uwanze kuangalia kioo chako bila kufumba macho mara kwa mara, au ku blink kwamaana nyingine.

Jitahidi usiwe una blink blink mara kwa mara na uweke uzingatiwe kwenye kujiangalia au kuangalia kioo chako kisha tamka maneno haya kwenye mabano kwakuyarudia rudia “Renich Tasa Uberaca Biasa Icar Lucifer My God”

NB: Jitahidi kuwa katika hali ya utulivu na usipungue chini ya lisaa 1 ukiwa unaangalia kioo na kurudia rudia hayo maneno kwenye mabano.

Marejesho uje nayo sio wasema story zakiaarabu halafu wasoma tuu uzi na practical hufanyi. JF ingetaka kupata experience yako kwenye hili
 
Tafuta kioo chakujiangalia weka mbele yako, hakikisha chumba chambo hakina mwanga, kisha chukua mishumaa miwili. Mmoja weka kushoto na mwingine weka kulia kwako na kioo kikae kakikati ya hiyo mishumaa miwili. Washa mishumaa yako na uwanze kuangalia kioo chako bila kufumba macho mara kwa mara, au ku blink kwamaana nyingine.

Jitahidi usiwe una blink blink mara kwa mara na uweke uzingatiwe kwenye kujiangalia au kuangalia kioo chako

Marejesho uje nayo sio wasema story zakiaarabu halafu wasoma tuu uzi na practical hufanyi. JF ingetaka kupata experience yako kwenye hili
Hii inatisha !
 
Hakuna kitu kama hicho. Ni dhana ya kiarabu ya kuwatisha watu au kutumika kupigia fedha za mazwazwa wanaoamini ujinga huu. Majini, pepo, na roho mtakatifu ni dhana mfu na za kufikirika zisizoingia akilini kwa watu wenye vichwa vinavyochemka. Ukitaka kujua kuwa hivi vitu ni feki, vya kubuni, na havipo, waambie wanaodai vipo wavilete lau kimoja tuvione au kuvihisi.​

Tunakusamehe tu dogo kuna vitu hata ukiambiwa kwa machozi hutaviamini
 
Mleta mada pata madini hayo kutoka kwenye suratul jinn

1.Qul oohiya ilaiya annna hustama'a nafarum minal jinni faqaalooo innaa sami'naa quraanan ajaba

2.Yahdeee ilar rushdi fa aamannaa bihee wa lan nushrika bi rabbinaaa 'ahada

3.Wa annahoo Ta'aalaa jaddu Rabbinaa mat'takhaza saahibatanw wa laa walada

1. Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur´ani ya ajabu!

2. Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi.

3. Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana.

4. Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu.
 
Mleta mada pata madini hayo kutoka kwenye suratul jinn

1.Qul oohiya ilaiya annna hustama'a nafarum minal jinni faqaalooo innaa sami'naa quraanan ajaba

2.Yahdeee ilar rushdi fa aamannaa bihee wa lan nushrika bi rabbinaaa 'ahada

3.Wa annahoo Ta'aalaa jaddu Rabbinaa mat'takhaza saahibatanw wa laa walada
Hii lugha ya Majini uliisomea wapi ndugu.
Au ndio Kajini kenyewe?
 
Back
Top Bottom