The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Jin au pepo haviwezi kusogelea ile mali(kitimoto)Unataka kusema wale tunaoona wanaotolewa mapepo huwa hawapendi kitimoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jin au pepo haviwezi kusogelea ile mali(kitimoto)Unataka kusema wale tunaoona wanaotolewa mapepo huwa hawapendi kitimoto?
Isije ikawa na wewe kusema umefanya formula zote ikawa ni hadithi tu.Aaah wapi sidhani kama wapo, Maana nishafanya formula zote ila sijawahi kuonana au kuwahisi, Hizi zitakuwa ni hadithi tu za ABUNUWASI.
Mapepo ndio hao majini, kwahiyo hata watolewa mapepo wanafaa kuulizwa kuhusu uwepo wa majini.Hii mada ni majini, kwani majini ni mapepo?
Hao wanaotolewa mapepo wanapenda kitimoto, wanaotolewa mapepo ili wakale kitimoto.
MBona hao wanakula kitimoto bado tunaona wanaingiwa na mapepo na wanaenda kutolewa kanisani?Jin au pepo haviwezi kusogelea ile mali(kitimoto)
Mbona hauelezie huo utafiti unaishia kudai tu umefanya utafiti, eleza ulifanya vp huo utafiti.Huenda zile ni story tu za kiarabu.
Nimefanya utafiti wa takribani miaka minne lakini sijawahi kuwahisi wala kuwasikia.
Umefanya utafiti wa namna gani?Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Akina nani haoWaulize Wenyewe wanao wafagilia katika maombi wanayo yafanya ili wasaidiwe na hao Majini.
Watakupa jibu.
Jini na malaika sio kitu kimoja,MBona hao wanakula kitimoto bado tunaona wanaingiwa na mapepo na wanaenda kutolewa kanisani?
Halafu kama jini hawezi kusogelea kitimoto ina maana hata malaika pia hawawezi kusogelea kitimoto? Maana tunaambiwa asili ya majini ni malaika waliyomuasi Mungu.
Wewe ndio mtu mfu na wakufikirikadhana mfu na za kufikirika
Formula gani ulitumiaKweli Mkuu, Maana formula zote nilifanya lakini sikuwahi kuwahisi wala kuwaona . Hizi ni story za kusadikika kama zingine.
Muhimu kujua njia sahihi na jinsi ya kujikinga kupata madhara unapofanya jambo kama hilo, ni sawa na kulinda mali yako kwenye mkusanyiko wa watu wengi huwezi kujua ni nani mzuri na nani mbaya anaweza kukuibia.Kujua jini zuri na baya unafanyaje, kuna jamaa zangu wawili walikufa kwa sababu ya haya mambo ya ku summon majini
Hiyo ni technolojia aliyokuja nayo sultan WA kiarabu alipokuja kutafuta watumwa Africa. Akipandisha majini huitwa ana MALERIA YA KIARABUHabari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
Huyo mdudu hawezi kufanya hata malaika kuto kukusogelea kweli? maana tunaambiwa majini ni malaika waliyoasi.Nishaskia watu kadhaa wakihojiwa na efm kwa visa vya kuiutana na majini,mmoja alikua akihojiwa na mkoi ghafla vifaa vikaungua vyote mpaka simu kwa kujaribu tu kueleza yaliyomkuta kwa huyo jini,
Ila kama wewe unakula mdudu kama mimi ni ngumu sana kukusogelea,
Nenda magomeni pale ulizia kuna nyumba moja ukikaa siku mbili utafiti unakamilika
mkwe, bi mkubwa wangu aliwah kunipa story ya hiko kisiwa kua n mwiko kuingia kwamwanamke akiwa kwenye hedhi kipindi hio na kama itatokea kuna sikukuu mmecinja mkusanye mifupa muifukie kua kinahusishwa na majini huko mwanaue kuoa jin kama kufumba machi nikaona b mkubwa ananionaje, kumbe itakua kweli eh?Nenda kisiwa cha tumbatu
HakunagaHabari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
Wewe jini wa nini siushaambiwa kuna majini wazuei na wabaya haya akija mbaya kwako utafanya nini😂Habari zenu WanaJamiiForums?
Swali langu linauliza je, ni kweli majini wapo? Katika utafiti wangu kuhusu majini sijawahi kukumbana nao. Na nimefanya utafiti wa kina mpaka majaribio lakini mpaka sasa sijawahi kuwa-expirience.
Au hii pia tuweke kwenye story za ABUNUWASI? Kama kuna anayeweza kuweka muongozo wa namna ya kuwaita aje,. Nahitaji kumaliza huu utafiti.
Asanteni.
Sio kitu kimoja kimatendo ila asili yao ni moja wote malaika.Jini na malaika sio kitu kimoja,
Majini yapo kuleta madhara tu,ila malaika hawana madhara
Na hao wanaoenda kuombewa hakuna kitu kama hicho,wale wanaandaliwa ili waonekane wamesaidika lakini ukweli ni kwamba hayawezi mwingia mla mdudu
Tujuze njia moja mkuu.Formula gani ulitumia