Diego silva
Senior Member
- Nov 22, 2022
- 192
- 314
Majini na mapepo ni hayo hayoHii mada ni majini, kwani majini ni mapepo?
Hao wanaotolewa mapepo wanapenda kitimoto, wanaotolewa mapepo ili wakale kitimoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majini na mapepo ni hayo hayoHii mada ni majini, kwani majini ni mapepo?
Hao wanaotolewa mapepo wanapenda kitimoto, wanaotolewa mapepo ili wakale kitimoto.
Infropreneur eti majini ndo yamegundua technology? 😹Kama awajakutaka huwezi kuwaona...ila amini wapo na baadhi ya vitu vinafanyika sio kwa uwezo wetu binaadam wanashirikiana nao sana katika kufanya Dunia iwe hivi unavyo iona...!
Madaraja makubwa...
Jinsi simu inavyo fanya kazi...!
Technology kubwa kubwa zote zinatokana na hao viumbe...! Endelea kuwafuatilia IPO siku utaliona moja
Kweli kule unaongea na jini livemkwe, bi mkubwa wangu aliwah kunipa story ya hiko kisiwa kua n mwiko kuingia kwamwanamke akiwa kwenye hedhi kipindi hio na kama itatokea kuna sikukuu mmecinja mkusanye mifupa muifukie kua kinahusishwa na majini huko mwanaue kuoa jin kama kufumba machi nikaona b mkubwa ananionaje, kumbe itakua kweli eh?
Hafithi,simulizi na yote yanayosemwa na niliyowahi kuyasikia wanaoingiwa na hao viumbe ni wasiokula mduduSio kitu kimoja kimatendo ila asili yao ni moja wote malaika.
Hawawezi kumuingia mtu anaekula mdudu kwa sababu gani? Maana wengine husema hata ukivuta bangi jini hakufuati.
Wakati kina Albert Einstein, Isaac Newton, Nikola Tesla, Marie Curie, Ernest Rutherford, Michael Faraday, Max Planck, Alessandro Volta, Stephen Hawking, Archimedes, Galileo Galilei, Neil Bohrs wanaumiza vichwa maabara kukuza Teknolojia.Infropreneur eti majini ndo yamegundua technology? 😹
Tatizo ni maneno tu hakuna huo uhalisia wala maelezo ya kwanini iwe hivyo. Hata hiyo nyama ya ng'ombe au samaki wale wenye kutaka kushughulika na majini kuna wakati hawali hizo nyama ila kuna sababu zake, sasa mtu akisema ukiwa unakula kitimoto unakuwa haupatwi na jini inabidi aeleze kwa nini? Kwamba majini hawapendi harufu tu ya kitimoto au inawadhuru?Hafithi,simulizi na yote yanayosemwa na niliyowahi kuyasikia wanaoingiwa na hao viumbe ni wasiokula mdudu
ww uliwahi?Kweli kule unaongea na jini live
Hapana kuna mama alienda mtoto wake alikuwa atembei ndio akaelekezwa uko akarudi mtoto anatembaww uliwahi?
duh hukumdadis sanaHapana kuna mama alienda mtoto wake alikuwa atembei ndio akaelekezwa uko akarudi mtoto anatemba
Hats sijuiTujuze njia moja mkuu.
Alisema kule unaongea na jini live kabisa na hakutoa pesaduh hukumdadis sana
sjawahi kufika, i wish siku moja nipate tour huko maybe na mm nitapats chance ya kuongea na jini liveAlisema kule unaongea na jini live kabisa na hakutoa pesa
Tokea nikiwa mdogo naambiwa majini wapo.. Lakini mpaka sasa najitambua sijawahi kuwashuhudia wala kuwahisi😂😂😂.Wewe jini wa nini siushaambiwa kuna majini wazuei na wabaya haya akija mbaya kwako utafanya nini😂
Hapana labda ni mawenge yako tu baada ya kuvuta bangi.Ilikuwa yapata saa 5 pale Arusha nilisikia marashi ya kuvutia, mbele yangu nikamuona mwanamke mrembo, anaponikaribia anazidi kurefuka, mwisho akaishia angani na kutoweka. Nilitetemeka mpaka meno yakatoa jasho. Nikaamini majini yapo. Yanatumiwa sana katika mambo ya utajiri ila ni kwa siri kubwa. Wanaotatumia mara nyingi ni wacha Mungu sana.
Fika ukifika zenji omba msaada ufike ukosjawahi kufika, i wish siku moja nipate tour huko maybe na mm nitapats chance ya kuongea na jini live
Ni kweli kuna mambo mengi ya ulimwengu ambayo hatuyafahamu ila hii ya uwepo wa majini kama una ukweli wowote, Maana nishajaribu kila namna nione hao majini lakini cha kushangaza niliambulia patupu.Hiyo ni technolojia aliyokuja nayo sultan WA kiarabu alipokuja kutafuta watumwa Africa. Akipandisha majini huitwa ana MALERIA YA KIARABU
Sio hadithi Mkuu nimefanya uchunguzi kwa kina lakini hayakuleta matokeo,Isije ikawa na wewe kusema umefanya formula zote ikawa ni hadithi tu.
OK. Umesema: "Huwezi kuwaona kwa maumbo ya kibinadamu"Majini ni viumbe roho.. Huwezi kuwaona kwa maumbo ya kibinadamu
Hichi kitu unakiona ni kikubwa?Mkuu umetisha.
Nina uhakika hawezi kufanya Wala kujaribu hii.
Humu watoto wengi na immatured fellas.