kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Leo sioni Pascal kuambiwa mchumia tumbo wala kutaka kuteuliwa na rais,sababu ameeleza yenye kuwafurahisha.
Mkuu ..Pascal na Makonda siyowasemaji wa corona ila tulimkosoa makonda lakini tunampongeza Pascal.
Na hata siku ikifika ya kumrudia mola, kama ni Waziri, lazima kwanza aombwe aliyemteua kwanza kuwa Mh. Waziri inatakiwa arudi mavumbini. Waziri ni mtu mkubwa hawezi kuondoka tu wakati yawezekana akawa hajamaliza kuwahudumia wanyonge.Waziri yuko sahihi kugoma kuhanishwa kwani wanaotaka kumhamisha sio waliomteua, mwenendo wote wa waziri unatakiwa uratibiwe na mteuzi wake kwa usalama wa taifa.
Labda tushauri ijengwe hosipitali maalum kwa viongozi wa juu tu.
Ni kweli kabisa leo Pascal amewaongasha watanzania kwa kuwaelezea yale ambayo yanayo wafurahisha watanzania tofauti na anavyowaudhigi kwa kueleza yasiyo wafurahisha na ndipo anageuka kuwa mchumia tumbo.Watanzania tunautamaduni wakuungana kwenye mambo yamsingi tofauti na gvt ...hapa mayala ametwambia jambo zuri LA kitanzania na sio lakiserikali LA ki nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile ndoto zako za huu ugonjwa kufika pale magogoni zitatimia mda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Post ipo ukurasa wa Siasa nchini, vinginevyo ingekuwa Kimataifa.
Hata ukifika Magogoni utamkuta wapi,wakati jamaa kishasepa, muda huu anaigiza muvi kule Chattle akiwa na yule gwiji wa soka Duniani, PELE!Zile ndoto zako za huu ugonjwa kufika pale magogoni zitatimia mda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Pascal tumpe jukumu la kuwa msemaji wa Corona?Pascal na Makonda siyowasemaji wa corona ila tulimkosoa makonda lakini tunampongeza Pascal.
Yani hata sielewi kitu hata uyo waziri aliye zulula uko ughaibuni simfahamu kabisa yani.Hivi Kabudi yuko wapi? Angekuwa mstari wa mbele katika mapmbano haya. Na juzi nimemuona Balozi Kairuki akitoa taarifa ambayo kimsingi ilitakiwa itolewe na Wachina wenyewe au na Waziri wetu wa Mambo ya Nje.
Kwahiyo makonda kosa lake ni kwamba si mwanahabari hivyo Pascal kama ndio angeeleza taarifa za mgonjwa(mtoto wa mbowe) ndio ingekuwa sawa?Mkuu ..
Pascal Mayalla ni Mwanahabari kazi yake ni Kuhabarisha..
Makonda ni Mkuu wa Mkoa si Mwanahabari.
Usichanganye hapa.