Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Usishangae mochwari akalindwa na askari aliye hai! Akizikwa familia inakabidhiwa jukumu baada ya kuweka zege juu ya kaburi.Na hata siku ikifika ya kumrudia mola, kama ni Waziri, lazima kwanza aombwe aliyemteua kwanza kuwa Mh. Waziri inatakiwa arudi mavumbini. Waziri ni mtu mkubwa hawezi kuondoka tu wakati yawezekana akawa hajamaliza kuwahudumia wanyonge.
Zinazowahusu wanaccm siyo jukumu lake.yule mkuu mwenye mamlaka ya kutoa taarifa za wagonjwa bila kibali cha hao wanne ilowaorodhesha hajapata hizo taarifa ili azitoe kinyume na utaratibu wa sheria?
Zinazowahusu wanaccm siyo jukumu lake.
[emoji848]Natabiri: atakuwa yule mwenye kuangalia wenzake kwa kuwakazia macho. Yule alietolewa jalalani.
Ni wapi kamtaja mtu? Maudhui ya huu uzi ni kuonyesha kuna viongoz wana abuse power na kuhatarisha afya za wenzaoMakonda anaonekana kakosea kutokana na mtu aliyemtaja tu na ndiyo maana hapa Pascal haonekani kukosea.
Hatuamini katika tunayo yatetea na kuyapinga.
Kumbuka mada yake kaileta kama na yeye anaukiza hivyo hata wakimkamata anaweza jitetea kuwa na yeye hajui kauliza sasa kazi kwenu mnao coment yeye kakaa pembeni anawachora tuu hapo kesi hana
....daa! Sijui nifunguke maana hii kuficha ficha sio kuzuri....ebu nichekieni mambo now kakaa wapi niropokeKama ni kweli basi huo ni ulimbukeni tu, ingekuwa kipindupindu labda ndiyo fedheha.
Ngoja tumsubiri Makonda atutajie!
Naskia ni Mkojaaaanii wa nchi ya Visiwano