Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Usishangae mochwari akalindwa na askari aliye hai! Akizikwa familia inakabidhiwa jukumu baada ya kuweka zege juu ya kaburi.Na hata siku ikifika ya kumrudia mola, kama ni Waziri, lazima kwanza aombwe aliyemteua kwanza kuwa Mh. Waziri inatakiwa arudi mavumbini. Waziri ni mtu mkubwa hawezi kuondoka tu wakati yawezekana akawa hajamaliza kuwahudumia wanyonge.