Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out!

Choma sindano ya usingizi akistuka yupo kitengo maalum

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hospitali ya binafsi

Wazir mwenye hata kama umemficha mpaka kufikia jumatatu atakuwa amefahamika.

Bunge linalerejea

Rais kaenda geita anazidi kukimbia watu.

Mayalla umelizua lazima ufe nalo, kama hutapata simu kufikia kesho mchana usijali utaipata jion lkn husiwaze kwa kuwa huna familia.

Wengi ni kama kabendera ila wewe marekani ilikusaidia kweli japo siku hizi unaogopa kisa ppr inaidai baadhi ya taasisi za serikali na haupati tenda.

You don' t have family to feed dont worry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUU UPUMBAVU WA CHINA NA TANZANIA WANAIGA [emoji117] Dunia ijihadhari na taifa la China; yadaiwa Corona ilikuwepo muda mrefu sana - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
March 24, 2020

Mnyororo unaoweza kusababisha maambukizi

Ulimwenguni :


Source: Global News

Tanzania :
Hawa waliowasili kutoka nje wanawasili na kuwekwa ktk hoteli za binafsi mfano hoteli ya Peacock mtaa wa Lumumba kulipo ofisi ndogo ya CCM makao makuu Dar es Salaam .

Scenario 1 :Mfanyakazi wa Peacock Hotel anaenda kupiga soga na Polepole ktk mitaa ya Lumumba jijini Dar. Baadaye Polepole anakwenda kikazi Dodoma. Ana mkutano na mawaziri kupima utekelezaji wa sera za CCM zilizomo ktk ilani ya ahadi za CCM.

Mawaziri wanaitwa na Waziri Mkuu katika kikao na mawaziri wake Dodoma kupanga mikakati ya kupambana na coronavirus.



Scenario 2: Wanaowasili toka nje wanapelekwa shule ya Mgulani JKT. wanawekwa karantini siku 14 chini ya ulinzi wa kijeshi wa SUMA. Askari wa SUMA wenye nidhamu hakuna kutoka nje ya kambi korona imedhibitiwa kisawasawa isisambae.
 
Kwani si ana mke?

Watoto vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umenitisha sana ndugu P. Kwa hakika uthubutu huwa unao sana..big up! wenye akili tushajiongeza. Siri ya kweli huwa ni ya mtu mmoja tu hapa duniani. Wakishakuwa wawili hakuna Siri tena hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…