Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,263
Mzazi wangu sio mjinga mjinga km jiwe labda mzazi wakoYaani ingekuwa vizuri sana angekuwa mzazi wako ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzazi wangu sio mjinga mjinga km jiwe labda mzazi wakoYaani ingekuwa vizuri sana angekuwa mzazi wako ...
Basi mzazi wako atakufa leo ucku! Imekaaje hiyo?Mzazi wangu sio mjinga mjinga km jiwe labda mzazi wako
Do you mean jiwe or mzazi wakoBasi mzazi wako atakufa leo ucku! Imekaaje hiyo?
Mzazi wako!Do you mean jiwe or mzazi wako
Mahmoud Thabit Kombo amekuwa waziri na ataendelea waziri si kwa sababu ana sifa za uongozi na diplomasia bali ni kwa sababu ya baba yake ni Mzee Thabit Kombo mmoja wa walokuwa mbele pamoja na Karume wakati wa mapinduzi na baada ya mapinduzi, kwa ufupi hakuna atakaethubutu kumvua uwaziri hata iwe vipi, amevaa joho la baba yake.
Jiwe ndo mzazi wako...Mzazi wako!
ukweli kama unao ungeusema ili uwaokoe watanzania wengi, kwa kuficha ficha kwako hakuna tofauti na hao unaowashutumu kuhusu kusema ukweli..
Jiwe ndiyo nani?Jiwe ndo mzazi wako...
Hawa viongozi wetu wanaokataa kutii amri za serikali wanayoitumikia wanajidhalilisha wao wenyewe na Sasa ndio tumeelewa tunaongozwa na watu wa aina gani.Ni kuwa tuangalie ya wenzetu tusifikiri kwetu hayawezi kufika
Kaondoka baba yake itakuwa yeye
Si kaondoka? Na yeye anatafuta cha kumwondosha kumfuata babayeBaba yake hakuondoka wala hakuondoshwa mpaka siku alokufa.
Huyu mama kwa kweli amefanya kitu cha kizembe kweli. Hapo nasikia kashamuambukiza mwanawe, na kuna watu kama 70 ivi ambao amekutana nao wapo kwenye hatari ya kuwa na ivo virusi. Halafu anasema hana hadhi ya kwenda kidimni? Ana hadhi ya kwenda wapi?*MAWAZIRI WETU SMZ BAADHI YENU KWANINI MNAKUA HIVI.*
Inasikitisha sana baada kuisikia na kuipata taarifa hii.
Jana tulisikia jinsi waziri alotoka safari na kuingia hapa kupitia VIP na kukaa Nyumbani akiwa anaumwa na kupelekwa Hosptl ya mnazi mmoja na mwishoe kuishia Kidimni.
Baada ya hili kutokea Purukuchu unapata taarifa za kuaminika Waziri mwengine wa SMZ kayafanya mengine yanayofanana na yale yale.
Kuna mgeni kaingia kutoka Uengereza mgeni wa kike kuna waziri wakiume kaenda uwanja wa ndege kumpokea mgeni uyo na kumpitisha VIP wakati hana hadhi ya kupitia VIP mtu huyo.
lakusikitisha VIP nao kwakua kapitishwa na waziri wakamruhusu na baadala ya kumuandika kaingia wakamuandika katoka baada ya apo akapelekwe kwa maofisa wa immigration Nao wakataka taarifa zake anapokwenda Akaandikwa anakwenda Bububu.
matokeo yake mtu huyo kapelekwa Chukwani Nyumbani kwao. Shida mwanamke baada ya kupitishwa kwamsaada wa waziri akaanza kuwataarifu wenzie walipo ulaya kama kishapita na yupo Nyumbani anafanya shuhuli zake.
Watu wa ulaya ndio walotoa taarifa znz ya hayo yote yalotokea huku hapo ndio taarifa zikaenea mpaka kufika maeneo husika na kufatiliwa uyo mtu na kupatikanwa Chukwani.
Tumuombe mungu awe hana maambukizi je kama atakua nayo nani hasa wakumlaumu kwenye hili?
Kwann tunaowapa dhamana na kuwaamini kwenye hili wanatuangusha haliyakua yote wameyapanga wao watu wakija wafikie wapi na Siku ngapi au Amri hii kwetu sisi tu wenye uluwa haiwahusi.
Hivi kwann mtu hajiambii ikiwa Makamo wa pili wa Raisi wetu Ambae ni mtendaji Mkuu wa shuhuli za serekali na mkewake na watumishi wake wote alokua Nao safari wamezingatia hili na kutii Amri ya Serekali. inakuwaje mtu tu wakawaidi waziri anajitwisha kumpitisha tu Jaman mnalengo gani na sisi tunaoishi humu visiwani?
Inakuwaje mnajipangia mikakati mnashidwa kuitekeleza wenyewe serekali kupitia vikosi vya ulinzi na Salama havilali kwa kulinda mipaka ili watu wasipitishe Kumbe nyie mnawapitishia kwa VIP kuna haja gani ya kuwafanya wasialale majumbani kwao kwa kulinda Taifa.
kwakweli inasikitisha sana Tunaowaamini na kuwaheshim ndio wanaotuhatarishia Maisha yetu haya mkuu ila kwasasa mgeni alopokea kisha chukuliwa yupo KAMILA tuombe mungu awe mzima ili ndugu zetu waokoke Ukanda wa chukwani.
Tunajadiri? Huko shule ulienda kusomea ujingaMnajadiri umbea. Machadema bw! Yameishiwa sera, mlizoea kuibiwa siri toka serikarini sasa wakuwapa hayupo mmebakia kunusa visivyonusika! Ca.g wenu ndo alibakia naye kapigwa chini.
Mbona ckuhizi mjadara wa 1.5 tn haupo?Mbona sera ya mafisadi ss haipo?
Natabiri: atakuwa yule mwenye kuangalia wenzake kwa kuwakazia macho. Yule alietolewa jalalani.
Taarifa za Uhakika kabudi yupo hoi kw Korona kalaza mloganzila