Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Jamani Dodomaaa πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221030-201447.png
    137.3 KB · Views: 17
  • 20221030_201629.jpg
    52.4 KB · Views: 17
  • 20221030_201637.jpg
    50 KB · Views: 18
Wakati huo ..mwanza imevunjwa miguu au ........fatilia growth rate ya miji ndio uje usemee
Mwanza imeshavunjwa miguu zamani sana 😜😜.

Kelele zote za Mradi wa Kigongo-Busisi umemezwa na project moja tuu hii ya Airport.

Bil.700 vs Bil.769πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-101242.png
    144.8 KB · Views: 16

Attachments

  • Screenshot_20221031-100613.png
    146.8 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221031-100607.png
    158.3 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221031-100557.png
    194.2 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221031-100348.png
    152 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221031-100155.png
    242.6 KB · Views: 17
Mwanza ni jiji kubwa ila washamba wapo hadi mjini kati. Kwa kifupi mwanza ukiwa mjini na vijijini tofauti ni lami tu
 
Mwanza ni jiji kubwa ila washamba wapo hadi mjini kati. Kwa kifupi mwanza ukiwa mjini na vijijini tofauti ni lami tu
Ushamba wao uliuona kwenye mambo gani wewe zezeta la mirembe, mkiambiwa mlete facts au data mnakimbilia kusema Mwanza wakazi wake ni washamba mkiulizwa ushamba wao huko wapi mnajiumauma tu, au ujanja ni kuwa mashoga na wasenge wasenge kama nyie.
 
Mambo ambayo yanafanyika Dom watu wa Mwanza wakiona lazima wanune πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-173444.png
    113.2 KB · Views: 15
  • dodoma.jpeg
    93.6 KB · Views: 15
Mwanza mpooo? Hapa lazima mje na excuses kama kawaida yenu..

Tarehe 8/11 TBA watazindua ujenzi wa nyumba Mzunguni jijini Dodoma πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221101-125735.png
    295.6 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221101-130513.png
    304.6 KB · Views: 14
Utasikia Dodoma wanajengewa Nyumba na Serikali 😁😁.

Asante Sana dalali Erick kwa kuwaumbua ma lazy..

Go Dom go πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221031-150304.png
    177.4 KB · Views: 15
  • Screenshot_20221031-181823.png
    176.9 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…