Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Labda wakati Mwanza ipo pamoja na Geita...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huna hoja 😄😄
 
Acha kulia lia ,leta hoja sio vioja.
 
Bahati nzuri waliopigia debe sana Dodoma kuwa makao makuu ni watu wa kanda ya ziwa na JPM ndio kabisa mtu wa huko akapiga msumari wa mwisho, hakuna budi itabidi mvumilie tu imeshakuwa
 
Nina wasiwasi hujawahi fika Dodoma please watu kutoka Dom msaidieni huyu Punguani
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-214729.png
    248.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214745.png
    294.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214750.png
    281.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214804.png
    226 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214808.png
    275.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-214812.png
    242.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214733.png
    259.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221103-214725.png
    232.3 KB · Views: 7
Siku Mwanza ikifika hapa mnistue..

Video ya Dom 👇
 

Attachments

  • TBA_YAENDELEA_KUTEKELEZA_UJENZI_WA_NYUMBA_BORA_DODOMA(360p).mp4
    10.3 MB
Huwa tunawambia Dodoma bado sana watu wazima wanabisha utadhani hawana vichwa.Dodoma pamoja na serikali kupamba sana lakini jiji bado ni matembe na slums hadi anwani za makazi ni shida.Je,Dodoma ikifikia ukubwa wa Dar na Mwanza itakuwaje??
 

Attachments

  • Screenshot_2022-11-04-22-39-51.png
    72 KB · Views: 10
Huwa tunawambia Dodoma bado sana watu wazima wanabisha utadhani hawana vichwa.Dodoma pamoja na serikali kupamba sana lakini jiji bado ni matembe na slums hadi anwani za makazi ni shida.Je,Dodoma ikifikia ukubwa wa Dar na Mwanza itakuwaje??
Maneno meengi yasiyo na msingi ila ukweli ni hapa kwenye video..

Dom the Capital City 👇
 

Attachments

  • NYUMBA_3500_ZA_WATUMISHI_WA_UMMA_DODOMA,ZINAVYOIPA_HESHIMA_WAKALA_WA_MAJENGO_TANZANIA_TBA.KAZI...mp4
    7.7 MB
Mji usio na bahari wala Ziwa ni michosho tu. Hivi Dodoma weekend wanakwenda kuenjoy wapi ? Hakuna beach wala zoo ni mitunduru na vumbi kwa kwenda mbele. Mji gani huo wa kuishi ? Pole sana.
Sa mbona arusha na moshi ni far better than mwanza?na hakuna bahari wala ziwa
 
Hiyo ni Italy weka picha ya mwanza
 
Maneno meengi yasiyo na msingi ila ukweli ni hapa kwenye video..

Dom the Capital City 👇
Takwimu zinaongea sio maneno.Mwanza ndo mkoa unaongoza kwa majengo yanayojengwa(majengo mpya) na hakuna uchafu wa NHc.Sasa sijui Dodoma pamoja na NHC (vijumba vya msaada)mko nafasi yangapi??.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…