Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Dodoma baada ya 4 years toka sasa itawaacha wengi tu hiyo population tu zamani Mwanza walikuwa wanawazidi Dodoma zaidi ya watu million 2 na zaidi leo laki 4 tu hiyo dalili watu wanakuja sababu fursa zipo Mwanza wamedumaa wanadhani watabaki na ile status jiji la pili milele wakishtuka watu wanawaacha soon.
Labda wakati Mwanza ipo pamoja na Geita...

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Utaniambia nini wewe mtoto wa Matonya sifa zenu ni kuomba omba na kujifanya vipofu sio kwamba hatuwajui ila huwa tunawasahidia ili msife njaa.😂😂😂nilipita dodoma aisee nilishangaa sana jua kali watu wako pembezoni mwa barabara wanaomba mabasi yanayopita wakati mabasi yenyewe yanatembea speed 100km/hr.Huo muda kwanini mtu usifanye kazi??
Huna hoja 😄😄
 
Wewe jamaa Mwanza inakuumiza kichwa sana😂😂😂ila ni ujinga wako.Mwanza ni habari nyingine,historia inaonesha Mwanza haijawahi kushuka walikuwepo Tanga ikaja ikapotea Mwanza hipo,wakaja Arusha wakapotea mwanza ndo inazidi kusimama,wakaja mbeya wakapote Mwanza hipo.Sasa wamekuja dodoma ambayo haina hata identiity ya kiuchumi tofauti na tanga ina bandari au utalii kama arusha zaidi ya siasa ila wanavyopiga domo utadhani hawaijui mwanza kwa vitu vyake hatari.Dodoma na Mwanza kitabia,Kijiografia,kiutamaduni,kiklamatolojia,kiuchumi na kiasa ni vitu viwil tofauti kabisa yaani mbingu na ardhi na haitatokea dodoma kuwa kama mwanza au mwanza kuwa kama dodoma.Dodoma serikali hata ifanye nini haiwezi fikia Mwanza.Mwanza ni natural attrction.
Acha kulia lia ,leta hoja sio vioja.
 
Utaniambia nini wewe mtoto wa Matonya sifa zenu ni kuomba omba na kujifanya vipofu sio kwamba hatuwajui ila huwa tunawasahidia ili msife njaa.😂😂😂nilipita dodoma aisee nilishangaa sana jua kali watu wako pembezoni mwa barabara wanaomba mabasi yanayopita wakati mabasi yenyewe yanatembea speed 100km/hr.Huo muda kwanini mtu usifanye kazi??
Bahati nzuri waliopigia debe sana Dodoma kuwa makao makuu ni watu wa kanda ya ziwa na JPM ndio kabisa mtu wa huko akapiga msumari wa mwisho, hakuna budi itabidi mvumilie tu imeshakuwa
 
Sasa maeneo uliyotaja yote unayoita Vijijini ndio yako ndani ya Jiji la Dodoma na Wilaya ya Chamwino ambayo iko mbioni kutangazwa Manispaa..

No excuses here Nimekupa clear data kutoa NBS sasa wewe unaokoteza vitaarifa vinavyo suit ujinga wako 😂😂.

Mzee stuka Dom ya Leo ni ya 2022 sio 2012 👇
Nina wasiwasi hujawahi fika Dodoma please watu kutoka Dom msaidieni huyu Punguani
 
Samia:hakuna wa kushindana nayo miradi ikikamilika
Note[emoji116][emoji867]
20221103_184700.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20221103-214729.png
    Screenshot_20221103-214729.png
    248.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214745.png
    Screenshot_20221103-214745.png
    294.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214750.png
    Screenshot_20221103-214750.png
    281.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214804.png
    Screenshot_20221103-214804.png
    226 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214808.png
    Screenshot_20221103-214808.png
    275.4 KB · Views: 7
  • Screenshot_20221103-214812.png
    Screenshot_20221103-214812.png
    242.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20221103-214733.png
    Screenshot_20221103-214733.png
    259.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20221103-214725.png
    Screenshot_20221103-214725.png
    232.3 KB · Views: 7
Siku Mwanza ikifika hapa mnistue..

Video ya Dom 👇
 

Attachments

  • TBA_YAENDELEA_KUTEKELEZA_UJENZI_WA_NYUMBA_BORA_DODOMA(360p).mp4
    10.3 MB
Huwa tunawambia Dodoma bado sana watu wazima wanabisha utadhani hawana vichwa.Dodoma pamoja na serikali kupamba sana lakini jiji bado ni matembe na slums hadi anwani za makazi ni shida.Je,Dodoma ikifikia ukubwa wa Dar na Mwanza itakuwaje??
 

Attachments

  • Screenshot_2022-11-04-22-39-51.png
    Screenshot_2022-11-04-22-39-51.png
    72 KB · Views: 10
Huwa tunawambia Dodoma bado sana watu wazima wanabisha utadhani hawana vichwa.Dodoma pamoja na serikali kupamba sana lakini jiji bado ni matembe na slums hadi anwani za makazi ni shida.Je,Dodoma ikifikia ukubwa wa Dar na Mwanza itakuwaje??
Maneno meengi yasiyo na msingi ila ukweli ni hapa kwenye video..

Dom the Capital City 👇
 

Attachments

  • NYUMBA_3500_ZA_WATUMISHI_WA_UMMA_DODOMA,ZINAVYOIPA_HESHIMA_WAKALA_WA_MAJENGO_TANZANIA_TBA.KAZI...mp4
    7.7 MB
Mji usio na bahari wala Ziwa ni michosho tu. Hivi Dodoma weekend wanakwenda kuenjoy wapi ? Hakuna beach wala zoo ni mitunduru na vumbi kwa kwenda mbele. Mji gani huo wa kuishi ? Pole sana.
Sa mbona arusha na moshi ni far better than mwanza?na hakuna bahari wala ziwa
 
Ivi watu wanaoilinganisha mwanza na dodoma wanaakili kweli nawasiwasi na akili zao
JIJI LA MWANZA :-
1-Kuna MIGODI YA MADINI MIKUBWA MITATU na migodi bubu kama yote
2-Ziwa victoria chanzo cha mto NILE wamisri wanipiga pesa kwa kumia huu mto ambao chanzo chake ni mwanza Dagaa wa mwanza mkoa gani hazipo zimekua mkombozi wa familia nyingi za kitanzania SATO samak mwenye heshima Tanzania nzima nenda hotel yoyote uone sato alivyo jibrand Sangara ana bondo ndani ya tumbo lake lenye thamani kuliko samaki mwenyewe BONDO NI KAMA DHAHABU kwa ufupi tu bondo ndio linatengeza nyuzi za kushonea wakati wa oparation mahosptal zote duniani
3-Vyakula vingi sana na vyote vinazalishwa ndani ya mkoa huska haku hakuna cha mchele wa mbeya
4-Usafiri mwanza hakuna njia kubwa isiyo na daladala sio bajaji daladala la abiria
5-BIASHARA ni kubwa mno kwanza muingiliano wa watu ni mkubwa sana Kuna MIKOA MINGI na WILAYA KUBWA zinaitegemea mwanza mfano shinyanga kahama katoro chato kibondo kasulu kigoma mjini msingwi bukoka katoro chato musoma sirari simuyu kakonko nyakanazi geita ukerewe jaman nimechoka kutype na mingineyo



SO TUBISHANE KWA FACT mkoa unajulikana kwa kuzalisha zabibu tu iacheni MWANZA IJAYOView attachment 2405425
Hiyo ni Italy weka picha ya mwanza
 
Maneno meengi yasiyo na msingi ila ukweli ni hapa kwenye video..

Dom the Capital City 👇
Takwimu zinaongea sio maneno.Mwanza ndo mkoa unaongoza kwa majengo yanayojengwa(majengo mpya) na hakuna uchafu wa NHc.Sasa sijui Dodoma pamoja na NHC (vijumba vya msaada)mko nafasi yangapi??.
 
Back
Top Bottom