Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

BOT mwanza ....
Inahudumia GDP trillion 41 .
Mwanza 12 trillion
Shinyanga 8 trillion
Geita 7 trillion
Mara 5 trillion
Kagera 5 trillion
Kigoma 4 trillion View attachment 2408542

Sent using Jamii Forums mobile app
GDP ya Simiyu inahudumiwa na wapi? 😆😆..

Najua hutojibu kwa vile unafahamu wapi itakula 😁😁.

BoT Kigoma inaendelea na ujenzi itahudumia Kigoma,Tabora na Katavi.
 
GDP ya Simiyu inahudumiwa na wapi? [emoji38][emoji38]..

Najua hutojibu kwa vile unafahamu wapi itakula [emoji16][emoji16].

BoT Kigoma inaendelea na ujenzi itahudumia Kigoma,Tabora na Katavi.
Itakula wapi ...GDP ya simiyu Iko shinyanga ....unatakiwa uniulize wahy imewekwa shinyanga.sio kelele zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simiyu uchumi ni agriculture based 90 ..na taasisi zinazosimamia uchumi kuanzia bank, mamlaka za mapato, viwanda na masoko ,.viko bado shinyanga..
Zao la pamba ni chanzo kikubwa Cha uchumi wa simiyu ... wakulima wa bariadi ,maswa,meatu ,na itilima . wanahudumiwa na mamlaka za shinyanga....ni vigumu kuhesabu uchumi wa simiyu as a separate mpka wajengee taasisi za kusimamia uchumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza inajitosheleza,Na watu wamwanza wanapenda kujenga dream house.Sio kujengewa vijumba kama quaters za magereza hakuna hata eneo la kuweka swiming pool.
Mwanza kuna nyumba nyingi za kienyeji hakuna v2 vya maana ,uanweza kuta izo nyumba laki 8 nusu ni za kienyeji
 
Na usiweze hauna akili ya kuishi Uzunguni
 
Mbona husemi Da wenye 900k na pop yao ya 5M
Dar kuna ghorofa 32K Mwanza mnaghorofa 2.4K mnatia aibu sana aisee, sasa ghorofa moja tu pale kariakoo zinaishi familia hadi 20 nyie mnavibanda vibanda tu hamueleweki...
Unataka kufananisha Mwanza na Jiji kama Dar?utapotea mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…