Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Watu wanasema Dom kuna fursa, limejengwa soko la Ndugai liko tupu, stendi ya mabasi iko tipu, ile hoteli nayo hamna kitu.
Tuambiane hizo fursa hii nchi ni yetu sote.
 
HIV kwanini watu wa dodoma na Arusha Huwa mnanuna sana mnapoona location na area nzuri za Bata na kufurahia weekend yako kama hizi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji91] kwani Kuna mtu aliwalizimishwa kuwa mbali na water bodies [emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza is a city of happiness..watu wanaspend . Ni nadra kupata maeneo ya Bata dodoma ....
Bambalaga pko kilocal ,pest tana ishajifia ,mmebaki na royal village Nako kuko hovyo tu ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanasema Dom kuna fursa, limejengwa soko la Ndugai liko tupu, stendi ya mabasi iko tipu, ile hoteli nayo hamna kitu.
Tuambiane hizo fursa hii nchi ni yetu sote.
View attachment 2413615
Magufuli alijenga soko polini nje ya Mji ulitegemea Nini?

Kama Mwanza Kuna fursa mbona ile mall kule airport road iko tupu kwa sehemu kubwa na Ni Mjini?
 
Huu ndiyo uzalendo sasa, hata huringi mkuu, keep it up!
 
Attachments

  • 2590c49766d042a1b084c04b459b7ebc_10000000_149057067864981_5629208733555599994_n.mp4
    9.5 MB
  • 20221115_091847.jpg
    57.8 KB · Views: 14
  • 20221115_091850.jpg
    68.3 KB · Views: 10
  • 29617c54e5184f6ebabc639e9e551797_315349821_499342858892436_2146030399021831550_n.jpg
    116 KB · Views: 11
  • 4aaaa0fa77c240ab81739b5c4f7bd502_315431226_164033366269034_97763265889000946_n.jpg
    105.1 KB · Views: 11
  • e94c26a02cb448cabe72a58fdf05b7d9_315544073_197824125990493_6495020533953177652_n.jpg
    125.2 KB · Views: 14
  • 23fc27aa25ff41a184d34981f55e4f83_315569280_409579174585963_4933976829282528421_n.jpg
    93 KB · Views: 13
  • 06f08fdc1c07439ba8491cb5a56d0012_315356751_1113224176064165_3015885779868423291_n.jpg
    125.7 KB · Views: 12
Shule za kisasa Kama hizi huko Mwanza mtakuwa mnaziona kwenye tv tuu hapa Dom πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20221115-165201.png
    231 KB · Views: 16
  • Screenshot_20221115-165322.png
    216.2 KB · Views: 15
Shule za kisasa Kama hizi huko Mwanza mtakuwa mnaziona kwenye tv tuu hapa Dom πŸ‘‡
Nimeafatilia post zako nyingi ila inaonekana wewe jamaa ni mshamba sana na sijui unaishi mji gani, anyway sio tatizo lako labda elimu uliyo nayo inaweza kuwa ndiyo tatizo
 
Nimeafatilia post zako nyingi ila inaonekana wewe jamaa ni mshamba sana na sijui unaishi mji gani, anyway sio tatizo lako labda elimu uliyo nayo inaweza kuwa ndiyo tatizo
Naishi Mbeya unatakaje mzee wa mapovu debe?

Ni hivi endelea kuugulia na mtaishia kuziona kwenye tv Dom tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…