Stick to the point...unatfuta pa kutokea eti [emoji16][emoji16]..umevamia mtumbwi wa vibwengo [emoji116][emoji116][emoji116]Wewe na aliyeandaa hicho kibango Ni rubbish [emoji706][emoji706].
Jiji la Mwanza Lina watu 3.6mln [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Unarudia rudia hako kapicha Hadi inakera kenge wewe..Stick to the point...unatfuta pa kutokea eti [emoji16][emoji16]..umevamia mtumbwi wa vibwengo [emoji116][emoji116][emoji116]
Ilemela municipal..Ghana area View attachment 2431681
Endelea kujidanganya na paper project....Unarudia rudia hako kapicha Hadi inakera kenge wewe..
Mwanza kashindane na Mbeya ,Dodoma imeshakuwa next thing kwenu..
Dom Metro train is next level,usirudie kulinganisha na hilo limji la hovyo lililojaa uswazi [emoji116]
Paper project ๐๐๐๐๐๐๐คช๐คชEndelea kujidanganya na paper project....
[emoji116][emoji116][emoji116]..kama kurudia picha wew ndio bingwa...ila kaa utulie dozi haijaisha [emoji16][emoji16].ukiona matusi mengi ujue astroveneca imefikia kunako [emoji116][emoji116]
Posta road [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2431701
Ujenzi hotel ya kitalii. .. unaendelea [emoji91][emoji91][emoji91]....mambo ni [emoji91]Paper project [emoji12][emoji12][emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2957][emoji2957]
Tunataka residential Kali Kama hizi za Dodoma sio unaleta slums kuchafua uzi [emoji116]
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]Ujenzi hotel ya kitalii. .. unaendelea [emoji91][emoji91][emoji91]....mambo ni [emoji91]
[emoji116] amodiaquine View attachment 2431719View attachment 2431720
Huna hata aibu,hako kagofu ndio unataka ufananishe na Dom?[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]View attachment 2431722
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nipo Nsalanga huku, njoo uniuwee ,[emoji13]
Waeleze wenzio ukweli Sasa kwamba je Nsalaga inafanana na mauchafu na mabanda Yale ya nguruwe kule Mwanza? ๐๐๐๐Nipo Nsalanga huku, njoo uniuwee ,[emoji13]
Iliishia kusikojulikana hii gari kama ambavyo tu Shabiby Line alichomoa Nairobi DodomaDodoma inaanza kuonyesha misuli yake.
New Route Dodoma-Nairobi via Arusha [emoji116]View attachment 2436436
[emoji28]ni dar mwanza na Arusha tu [emoji28][emoji28]..hamna Cha dodomaMNAOSEMA DODOMA INAKUA KWA KASI .. takwimu za ununuzi wa vifaa vya ujenzi [emoji116][emoji116][emoji116]
Zikiwa zimebaki siku 19 ili kuumaliza mwaka 2022, Kampuni maarufu ya uuzaji vifaa vya ujenzi ya DAR CERAMICA yenye Makao yake Makuu Mlalakuwa, Mikocheni DSM limetangaza takwimu zake za mauzo kwa mwaka 2022 na kutaja maeneo ambayo yameongoza kwa kununua vifaa hivyo vya ujenzi na kupelekea mapato yake mwaka huu kuzidi Tsh. Bilioni 30.
Maeneo ya Dar es salaam yaliyoongoza kwa kununua vifaa vya ujenzi zikiwemo tiles kwa wingi ni pamoja na Mbweni, Bunju, Goba, Madale, Kimara, Kigamboni na Masaki ambapo mikoa mingine iliyofanya manunuzi kwa wingi mwaka huu ni Arusha na Mwanza.
โKatika kuonesha shukrani tumekuja na taarifa njema ya punguzo kubwa la bei kupitia package yetu iitwayo โcombo festivalโ msimu huu wa sikukuu iliyoanza tarehe 5 December na itaisha January 7 2023, asilimia 80 ya bidhaa zetu inatoka Ulaya (Hispania, Ureno, Italia) na asilimia ndogo iliyobaki ni kutoka China, tunawakaribisha Wateja wetu kutembelea maduka yetu ya Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Dodoma, Mwanza, Arusha, Geita