MNAOSEMA DODOMA INAKUA KWA KASI .. takwimu za ununuzi wa vifaa vya ujenzi [emoji116][emoji116][emoji116]
Zikiwa zimebaki siku 19 ili kuumaliza mwaka 2022, Kampuni maarufu ya uuzaji vifaa vya ujenzi ya DAR CERAMICA yenye Makao yake Makuu Mlalakuwa, Mikocheni DSM limetangaza takwimu zake za mauzo kwa mwaka 2022 na kutaja maeneo ambayo yameongoza kwa kununua vifaa hivyo vya ujenzi na kupelekea mapato yake mwaka huu kuzidi Tsh. Bilioni 30.
Maeneo ya Dar es salaam yaliyoongoza kwa kununua vifaa vya ujenzi zikiwemo tiles kwa wingi ni pamoja na Mbweni, Bunju, Goba, Madale, Kimara, Kigamboni na Masaki ambapo mikoa mingine iliyofanya manunuzi kwa wingi mwaka huu ni Arusha na Mwanza.
“Katika kuonesha shukrani tumekuja na taarifa njema ya punguzo kubwa la bei kupitia package yetu iitwayo “combo festival” msimu huu wa sikukuu iliyoanza tarehe 5 December na itaisha January 7 2023, asilimia 80 ya bidhaa zetu inatoka Ulaya (Hispania, Ureno, Italia) na asilimia ndogo iliyobaki ni kutoka China, tunawakaribisha Wateja wetu kutembelea maduka yetu ya Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Dodoma, Mwanza, Arusha, Geita