Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wewe na aliyeandaa hicho kibango Ni rubbish [emoji706][emoji706].

Jiji la Mwanza Lina watu 3.6mln [emoji12][emoji12][emoji12][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Stick to the point...unatfuta pa kutokea eti [emoji16][emoji16]..umevamia mtumbwi wa vibwengo [emoji116][emoji116][emoji116]
Ilemela municipal..Ghana area
JamiiForums880658872.jpg
 
Stick to the point...unatfuta pa kutokea eti [emoji16][emoji16]..umevamia mtumbwi wa vibwengo [emoji116][emoji116][emoji116]
Ilemela municipal..Ghana area View attachment 2431681
Unarudia rudia hako kapicha Hadi inakera kenge wewe..

Mwanza kashindane na Mbeya ,Dodoma imeshakuwa next thing kwenu..

Dom Metro train is next level,usirudie kulinganisha na hilo limji la hovyo lililojaa uswazi 👇
 
Moja ya vitu vinavyowaumiza kichwa watu wa Mwanza Ni hizi suburb za Dom..

Mtaelewa tuu 👇
 
Unarudia rudia hako kapicha Hadi inakera kenge wewe..

Mwanza kashindane na Mbeya ,Dodoma imeshakuwa next thing kwenu..

Dom Metro train is next level,usirudie kulinganisha na hilo limji la hovyo lililojaa uswazi [emoji116]
Endelea kujidanganya na paper project....
[emoji116][emoji116][emoji116]..kama kurudia picha wew ndio bingwa...ila kaa utulie dozi haijaisha [emoji16][emoji16].ukiona matusi mengi ujue astroveneca imefikia kunako [emoji116][emoji116]
Posta road [emoji91][emoji91][emoji91]
20221124_231012.jpg
 
Endelea kujidanganya na paper project....
[emoji116][emoji116][emoji116]..kama kurudia picha wew ndio bingwa...ila kaa utulie dozi haijaisha [emoji16][emoji16].ukiona matusi mengi ujue astroveneca imefikia kunako [emoji116][emoji116]
Posta road [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2431701
Paper project 😜😜😜😂😂😂🤪🤪

Tunataka residential Kali Kama hizi za Dodoma sio unaleta slums kuchafua uzi 👇
 
Loosers wa Mwanza watakwambia ooh Serikali ndio inajenga Dom 🏃🏃.

Dom jamani Dom 👇
 
Loosers wa Mwanza wameishiwa Cha ku post 😆😆😆😆.

Kwa jinsi Dom hii inavyokimbia kimaendeleo sijui wataficha wapi aibu Yao 👇
 
MNAOSEMA DODOMA INAKUA KWA KASI .. takwimu za ununuzi wa vifaa vya ujenzi [emoji116][emoji116][emoji116]

Zikiwa zimebaki siku 19 ili kuumaliza mwaka 2022, Kampuni maarufu ya uuzaji vifaa vya ujenzi ya DAR CERAMICA yenye Makao yake Makuu Mlalakuwa, Mikocheni DSM limetangaza takwimu zake za mauzo kwa mwaka 2022 na kutaja maeneo ambayo yameongoza kwa kununua vifaa hivyo vya ujenzi na kupelekea mapato yake mwaka huu kuzidi Tsh. Bilioni 30.

Maeneo ya Dar es salaam yaliyoongoza kwa kununua vifaa vya ujenzi zikiwemo tiles kwa wingi ni pamoja na Mbweni, Bunju, Goba, Madale, Kimara, Kigamboni na Masaki ambapo mikoa mingine iliyofanya manunuzi kwa wingi mwaka huu ni Arusha na Mwanza.

“Katika kuonesha shukrani tumekuja na taarifa njema ya punguzo kubwa la bei kupitia package yetu iitwayo “combo festival” msimu huu wa sikukuu iliyoanza tarehe 5 December na itaisha January 7 2023, asilimia 80 ya bidhaa zetu inatoka Ulaya (Hispania, Ureno, Italia) na asilimia ndogo iliyobaki ni kutoka China, tunawakaribisha Wateja wetu kutembelea maduka yetu ya Dar es salaam, Mbeya, Iringa, Dodoma, Mwanza, Arusha, Geita
 
[emoji28]ni dar mwanza na Arusha tu [emoji28][emoji28]..hamna Cha dodoma
Screenshot_20221212-152203.jpg
 
Vitu kama hivi dodoma ,,ni miaka milion mingine ndo vitaonekana.....
Ni majiji machache ambayo yamebarikiwa all means of transport...
20221205_165558.jpg
20221205_165607.jpg
2021-12-29 (2).jpg
 
Back
Top Bottom