Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Wakati dodoma mkisubiri miradi uchwara ya mji wa serikali.......
Huku GDP inazidi kupanda juu[emoji91][emoji91][emoji116][emoji116]
Ujenzi wa hospital ya kisasa
Na huduma za express boat
 
Acha utoto,Kuna miradi chungu mzima nimepost humu jukwaani.

Haters watasema hapa sio Dodoma [emoji116]View attachment 2450674
[emoji28][emoji28][emoji28]nakuona balozi wa infinity...wasipokupa tuzo Bora ya marketing kwenye kampuni lao .bas mbingu wataisikia tu ..
By the way ,,usitulingishie maua sisi[emoji116]

Mitaaa smart ya BUGANDO..
.green setting kama hii huwezi ipata dodoma [emoji16][emoji116][emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…